Yamemkuta


kwanini ujamshauri ajiunge na jf ili ajifunze kuika hasa kule jf chef itamsaidia sana kuliko kurudi mahomu job true true..
 
Kisa hiki nimeshakiona kwenye nigerian movies lakini ina maana huyo mume mpaka anaoa hajamjua mwenzie kama hajui kupika?
 
Weeeeeeeeeeh...........!!!!!!!!!!!!!!! acha kabisa kwetu usukumani kuna mwanamke alipika Ugali mbichi,alipomuwekea mwanaume ,mwanaume akaufunga kwenye basikeli akaupeleka ukweni pamoja na hati ya talaka.....

ha ha ha huyo nae alivuka mipaka
 
ivi bado kuna watu wanawake umri wa kuolewa hawajui kupika?...kabisaaa hata kidogo kias cha kupikiwa na jirani?

watu wanafanyiwa kila kitu hata chai hawajui kupika wanapasha kwenye microwave,
 
Kisa hiki nimeshakiona kwenye nigerian movies lakini ina maana huyo mume mpaka anaoa hajamjua mwenzie kama hajui kupika?

walikuwa wanakula out siku zote za urafiki wao hajawahi kupikiwa
 
hili ni kosa la walio mlea.
 
ivi bado kuna watu wanawake umri wa kuolewa hawajui kupika?...kabisaaa hata kidogo kias cha kupikiwa na jirani?
mimisa
hivi umeshawai kufikiri kuwa hata vilio tunavyo viona humu jamvini waume kutafuta nyumba ndogo vinachangiwa na baadhi ya wana jf kutojua kupika hasa wanawake? wengi wana fikiri kitanda ni suluhu pekee ya ndoa kumbe pengine nyumba ndogo zina jali mapishi na nidhamu ya kupika. sijawai kuona faid ya hizo wanazo ziita kitchen party zaidi ya kudanganyana kuhusu vitanda alaf mwisho wa siku vilio kila leo.


Niko tayari kuondoa maneno yangu kamaitahitajika.
 
Last edited by a moderator:

Nakala kwa ; Passion Lady..
aione kwenye file
 
Last edited by a moderator:
we muache ajishaue tu
mwanume namkalangizia mahanjumati
leo analeta habari kama hiyo,hakiyanani
Ruttashobolwa utakula mchemsho usio na viungo
zaidi ya chumvi mpaka ufute kauli,na leo ulale hukohuko aaalaaaaa?!!!!!

we unaona vitamu..mwenzio anaviona ovyo! hakuna kufuta kauli hapa..rudi jikoni ujipange vyema!
 
Last edited by a moderator:
we unaona vitamu..mwenzio anaviona ovyo! hakuna kufuta kauli hapa..rudi jikoni ujipange vyema!
nikikukaribisha kwangu siku moja
utagoma kurudi kwenu kwa mahanjumati
nitakayoandaa,mi nakwambia huyu alijua sitoona
hakiyanani atajuta atiii,akisafiri nitakukaribisha nyumbani
!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…