Yamekwisha


SOKETI

SOKETI

Senior Member
Joined
Jul 24, 2010
Messages
196
Points
195
SOKETI

SOKETI

Senior Member
Joined Jul 24, 2010
196 195
Hatimaye interuiew iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na iliyokuwa na ushindani mkubwa/assistant accountant-udom imemalizika. Kwa mujibu wa taarifa zilizo patikana kwa msimamizi wa usahili uwo mesema matokeo yatawekwa kwenye mtandao mara baada ya mchakato kukamilika
 
Wingu

Wingu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Messages
4,323
Points
1,225
Wingu

Wingu

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2011
4,323 1,225
Wewe kwani mpare mpaka unasubiria matokeo
 
GOOGLE

GOOGLE

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
1,867
Points
2,000
GOOGLE

GOOGLE

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
1,867 2,000
Hujafafanua mkuu!! Tiririka
 
X

xiande

Member
Joined
Oct 3, 2012
Messages
90
Points
0
X

xiande

Member
Joined Oct 3, 2012
90 0
vp mkuu kutakuwa na oral interview or ndo mwisho hapo wanachuja wapate wachache mana watu wa tutorial tunasubiria kwa hamu huku street
 
dunia tunapita

dunia tunapita

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Messages
357
Points
195
dunia tunapita

dunia tunapita

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2012
357 195
bado hayajakwisha ila yanaendelea bhana,,,ukishapata yes
 
L

luhombi

Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
85
Points
0
Age
30
L

luhombi

Member
Joined Oct 17, 2012
85 0
mkuu umeomba tutorial assistant katika fani ipi? nataka kuwajua wapinzani wangu mapema

vp mkuu kutakuwa na oral interview or ndo mwisho hapo wanachuja wapate wachache mana watu wa tutorial tunasubiria kwa hamu huku street
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,492
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,492 1,250
Kwa uandishi wako mleta mada kwenye interview ulikuwa makini kweli,au ndo haraka
 
N

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
4,756
Points
1,225
Age
39
N

ndomyana

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
4,756 1,225
Naskia ma assistant accountant waliulizwa bi kizee hapakatwi,hakojolewi,mzuri,hapodolewi
 

Forum statistics

Threads 1,296,619
Members 498,672
Posts 31,253,898
Top