Elections 2010 Yamebaki Masaa Je, Utabiri wa Sheikh Yahaya Utatimia?

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Wandugu yamebaki masaa Kabla ya Kuifikia siku ya uchaguzi, ni saa sita na dakika moja usiku wa leo kama Mwenyezi Mungu akipenda tutakuwa tumeifikia hiyo siku!

Bado ninashaulu ya kujua kama ni kweli Huyo mgombea mwenye nguvu zaidi za kumpinga kikwete katika kinyang'anyiro cha Urais yuko mbioni Kufa au la.

Na je, lisipotokea alilotabiri huyu mzee itakuwaje katika biashara zake ambazo kimsingi zinategemea TRUST ya watu?
 
Wakazi wa Dar wanasema kama utabiri haukutimia Shehe yahaya atahitajika kwa ajili ya kupigwa mawe mapa mauti yamkute ,na hivyo ajue kuwa ushirikina hauna nafasi hapa Tz ,hawa ndio wanaotabiri uwongo wa kupata utajiri kwa kuuwa maalbino ,huyu ni adui mkubwa sana anapozidiwa anasema hafanyi uchawi.
 
Hapana watu hawatakiwi kuwa na jazba namna hiyo, utabiri usipotimia aibu atakayoipata itakuwa ni fundisho tosha?
 
Maskini wee, wala mie sina hata comment, si alikua anatafuta wateja tu, ilikua ni namna ya advertisement apate wateja msimu huu wa uchaguzi, nililisema wazi hili
 
lakini huyu mzee nayhisi kuna jambo fulani atakuwa analijua, sababu najiuliza amepata wapi confidence ya kusema uchaguzi utaahirishwa kutokana na kifo cha mgombea fulani?

Je, Kuna njama zozote za mauaji anazozijua? HIli si jambo la kupuuzia, huenda huyu mzee kuna jambo analijua limepangwa " Conspiracy".
 
Wandugu yamebaki masaa Kabla ya Kuifikia siku ya uchaguzi, ni saa sita na dakika moja usiku wa leo kama Mwenyezi Mungu akipenda tutakuwa tumeifikia hiyo siku!

Bado ninashaulu ya kujua kama ni kweli Huyo mgombea mwenza wa kikwete yuko mbioni Kufa au la.

Na je, lisipotokea alilotabiri huyu mzee itakuwaje katika biashara zake ambazo kimsingi zinategemea TRUST ya watu?

kwani huyo mnajimu alisema mgombea mwenza gharib bilal ndiye atakayekufa?

mkuu utakuwa umemnukuu vibaya huyo mganga.

Jambo la kwanza lazima watu wajue kwamba shehe Yahya sio Mungu na kwamba neno lake katu siyo sheria. Tusiamini maneno yake kwani yana nia ya kupotosha jamii. Alisema mgombea wa CCM atashinda na mpinzani wake atafariki lakini hivi karibuni amedaiwa kusema uchaguzi kutofanyika mwaka huu! Sasa sijui ni kwa njia ipi mgombea wa CCM atashinda iwapo hakuna uchaguzi? Lengo la CCM na shehe Yahya ni kuwavuruga wapiga kura kisaikolojia. Nawaomba wa'Tanzania' wote wa imani zote kumpinga huyu shetani kwa nguvu zote. Ombea uchaguzi wa Tanzania, jitokeze kapige kura hapo J2. Mungu ibariki Tanzania, Mungu bariki uchaguzi Tanzania.
 
Wandugu yamebaki masaa Kabla ya Kuifikia siku ya uchaguzi, ni saa sita na dakika moja usiku wa leo kama Mwenyezi Mungu akipenda tutakuwa tumeifikia hiyo siku!

Bado ninashaulu ya kujua kama ni kweli Huyo mgombea Urais mwenye nguvu zaidi za kumpinga kikwete yuko mbioni Kufa au la.

Na je, lisipotokea alilotabiri huyu mzee itakuwaje katika biashara zake ambazo kimsingi zinategemea TRUST ya watu?

Ngoja tusubiri
 
Huenda labla MAUTI yatamkuta JK, leo pale Jangwani let us wait!!!!!

Binafsi sina hofu kwani Dr wa ukweli analindwa na Damu ya Kristo.
 
Back
Top Bottom