Yaliyowasibu Viongozi Wa CCM Mbeya

maggid

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,084
1,246
Jana na leo nilibahatika kutembelea Jiji la Mbeya. Gumzo kubwa karibu kila kona ya Jiji hili la Mbeya ni viongozi waandamizi wa chama na serikali kuzomewa walipokuwa hapa Mbeya. Habari hizo zimeripotiwa kwenye vyombo vya habari pia. Fuatilia habari katika picha juu ya tukio hilo kwa kutembelea; http://mjengwa.blogspot.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom