Yaliyowasibu Viongozi Wa CCM Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yaliyowasibu Viongozi Wa CCM Mbeya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by maggid, Oct 5, 2007.

 1. m

  maggid Verified User

  #1
  Oct 5, 2007
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Jana na leo nilibahatika kutembelea Jiji la Mbeya. Gumzo kubwa karibu kila kona ya Jiji hili la Mbeya ni viongozi waandamizi wa chama na serikali kuzomewa walipokuwa hapa Mbeya. Habari hizo zimeripotiwa kwenye vyombo vya habari pia. Fuatilia habari katika picha juu ya tukio hilo kwa kutembelea; http://mjengwa.blogspot.com
   
Loading...