Home tutor Dar
Senior Member
- Feb 23, 2025
- 114
- 139
Watanzania wenzangu,
Tukio la Oktoba 29 lilileta maumivu, sintofahamu na migawanyiko ambayo hatutamani ijirudie kamwe. Amani ya nchi yetu ni hazina kubwa, na kama taifa, tunapaswa kutafuta njia mbadala, zenye hekima na utulivu ili kufikia makubaliano kwa hoja, si chokochoko.
Ndugu zangu, hebu tukusanye hoja zetu.
Je, ni mambo gani wananchi tungependa serikali iyafanyie kazi?
π Elimu?
π Ajira?
π Afya?
π Haki na usawa mbele ya sheria?
π Hali ya uchumi na maisha?
π Uhuru wa mawazo na kujieleza?
π Maendeleo ya vijana na wanawake?
π Uwajibikaji wa viongozi?
Tafadhali changia hoja yako kwa heshima.
Huenda kwa namna moja au nyingine zikawa mwanzo wa maridhiano na mageuzi chanya.
Tukumbuke: Nchi ni yetu sote.Maridhiano ni hatua ya hekima. Tufike mahali tunajenga badala ya kubomoa.
βπ½ Karibu kwenye mjadala wa busara.