Mnyamwezi wa Urambo
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 928
- 275
maendeleo gani Tbr,punguzeni uchawi na uswahili watu tuje kuwekeza
Hivi kwenye mikoa yenye kusifika kwa uchawi naTabora ipo eenh?
maendeleo gani Tbr,punguzeni uchawi na uswahili watu tuje kuwekeza
Mkuu achana naye huyo anastress za kulipishwa gharama za mlango.
Kwa sisi tunaoijua Tabora ya miaka hiyo ghorofa ni ofisi ya mkuu wa mkoa tu mpaka sasa hivi, mabadiliko ya kimaendeleo tunayaona.
msamehe huyo malyenge(makengeza) amevurugwa
Wewe ni muongo, mimi pia ni mzaliwa na nimekulia Tabora mjini. Usitegemee ulale guest za buku halafu upate matatizo uje ututukane humu. Karibu na stand kuna hoteli nyingi sana tu za maana kama GOLDEN EAGLE na FRANKMAN sijawahi kupata huduma mbaya toka kwao.
Huwezi kusema vibaya mkoa mzima kwasababu ya huyo mlevi na polisi njaa ambao wapo nchi nzima.
Customer service mbovu kabisa huyo mhudumu alitaakiwa ataifishwe kazi hapo hapo!Na hao mapolisi kiboko doh walitaka wakudhulumu mara 20 ya pesa ulolipa kwaajili ya mlango ambao umeharibika kwa kosa la mhudumu!
Ni kweli mkuu. Polisi walisema hakuna ushahidi ninaoweza kuthitisha kuwa muhudumu alivunja kioo cha mlango mwenyewe. na wao nikawauliza hakuna ushahidi anaoweza kuthibitisha kuwa mimi nilivunja kioo cha mlango. Wakasema uthibitisho upo kwa sababu yeye ndo amekwenda polisi kushitaki.
Ni hoja ambayo nikaamua kuipuuza maana niliiona kuwa ni ya kipumbavu.
Ila na wewe ulizidi udhaifu tena mbele ya mkeo yaani kijana mdogo wa gest anakubambikia kesi pamoja na mgambo wake unafungiwa mpaka polisi wanakuja ivi kweli ulikosa cha kufanya au vipi? Siku nyingine piga vibao wote wawili mi kesi kama hizo ndo nazipenda vibaya sana niliwah kudhurumiwa na mhudumu mmoja kama elfu 20 ivi alafu kaniletea janja ya nyani nikaona ngoja nilete polisi wanisaidie kuja polisi demu anasema alinipa k so tumemalizana na polisi wakakubaliana nae nilichukia kilichotokea pale ni fundisho kwa yule demu kufanyia uhuni vijana tusiokua na kazi nilipiga mbele ya polisi na nikabeba simu yake polisi nikawapa line tu.