DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,899
Mzee wa orodha katika ubora wakeKila mtu akisimulia yaliyomkuta jana itakuwaje?wale wa chooni, kitandani, uchochoroni..rubbish tu!!




Mzee wa orodha katika ubora wakeKila mtu akisimulia yaliyomkuta jana itakuwaje?wale wa chooni, kitandani, uchochoroni..rubbish tu!!




You lost! Bastard..-Sasa wewe MUUZA JUICE(rejea uzi wako wa kuomba usaidiwe mashine) ya miwa unataka kusemaje?
-hii mitandao inaficha lkn uzi zako zinaakisi usokwe ulionao ww punga. Mbuu jike ww
The List
Tii kiu yako.
NilikulaUlikula mchana jana? Maanda mihangaiko ya kko inachosha sana mara nyingi husababishia mtu kuona wenge
Shem mimi siaminigi hivi vitu...yani sijui nipoje aiseeNilikula
Sikuwahi kuwaza kama mchana pia yanatembea..nilijuaga usiku tu au yakitembea mchana hayaonekaniIla hata mchana wengine wanakumbana nao
Hiyo nakuhakikishia wewe kam kweli limekupenda utakuwa unaota ndoto muruwaah


niache na huo uhakiki wakoTena nakuhasa unapo lala uvae mpira magonjwa mengi


nimecheka..khaaa!!StupidFemale anopheles mosquito.
Hilo nalo la muhimu sana.Ulikula mchana jana? Maanda mihangaiko ya kko inachosha sana mara nyingi husababishia mtu kuona wenge
AmenNamshukuru mungu mwingi wa rehema
SIONGEI NA MBWA NAONGEA NA MWENYE MBWA. NA MBWA UKIMJUA JINA HAKUPI TABU.




Na mara nyingi vinawatokea wanaoviamini.Shem mimi siaminigi hivi vitu...yani sijui nipoje aisee
Sijawahi onana nae live may be kwenye movieHujawahi kukutana na mademu wenye mamcho ya paka?
Mimi nitakua wa mwisho kuja kuamini ulimwengu wa majiniNa mara nyingi vinawatokea wanaoviamini.
Mkuu, kwenye hatari kama hiyo mtu huwa anapata nguvu za ajabu, anakimbia balaa mpaka unayemtazama unaweza kushindwa kujua ni me au ke!



mbio za bolt hatariiLakini unatambua kwamba siku hizi wanawake wanaweka lens tofauti tofaut machoni ?Sijawahi onana nae live may be kwenye movie
Comment yakoNimefanyaje?