Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,053
- 3,268
Na ukiingia chooni pia soma dua mana huko ndo makazi yao. Wanaweza wakakuangusha chini chooni hawa,na wakiamua kukudhuru wanakudhuruKwakweli ndiyo maana tunaambiwa kabla ya kutoka nyumbani omba kwanza duu, Mungu atusaidiye sana

