D
Deleted member 485868
Guest
- Thread starter
- #201
Nawaza tu..tungekua tunaonana nao hivi live..yani ileile sijui ingekuajeKariakoo kuna majini na misukule mingi tu, uzuri hatuwezi yaona ila inatokea kama hivyo ndo unagundua