Yaliyonikuta jana jioni


dah.. hii sehemu imenigusa sana!!!!!!

i wish....!
 
"If a man commits adultery with the wife of his neighbor, both the adulterer and the adulteress shall surely be put to death"
- Leviticus 20:10

"Flee fornication. Every sin that a man does is without the body; but he that commits fornication sins against his own body"
- 1 Corinthians 6:18
 
Kama kuna kitu nachukia ni kulitumia Jina la Mtumishi wa Mungu kwenye upuuzi ka huu. Yaani mna maana kuwa wanaokwenda kwenye hiyo mikutano huko hawaendi na ya Rohoni bali ni viwanja vya kuopolea wala sio vya kuokolea?
Acheni kutumia mikusanyiko ya wana wa Mungu kwa ubazazi. Nimechukia sana
 
Michepuko noma shika njia kuu..uliagiza vyote condom je?
 
Mungu atusaidie sana kwa mwendo huu tutaisha.athari za kuoa/kuolewa na wake/waume za watu.
 

Wewe kuna kipengele umeruka hapo. Rekebisha fasta..!
 
loo mashetani wakubwa...sasa mlipata nini cha zaidi...?mlitiana nyege tu nyie mabazazi wakubwa..
Ni kwamba hamjamwelewa Manuu! Angerudije home bila gari as ulinzi ni mkali uwanjani mpaka asubuhi. Kifupi wote waliacha gari zao mpaka asubuhi! Ndo yaliyomkuta jana! Kuacha gari uwanjani peupeeee lake na la mke wa mtu!
 
Safi sana....
Hata mimi Aisee. Kuthibitisha hili ni kuwa siku moja nilisafiri kwenda mji fulani ambao anaishi. Aliposikia alikuja hoteli usiku wa saa tano akanipigia simu akiomba nimfungulie nikazima simu nikalala.
 
kama ulivyojieleza hapa

ukamweleze na mkeo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…