Yaliyonikuta jana jioni

Mkuu unatupa wsws na wake zetu bana, ndio mana naipinga sana mikusanyiko kwa stail hii watu wanaenda kwa kuzuga tu, bora akae home
 
Ama kweli shetani amehamua kukutumia kujenga ufalme wake! Alikupeleka kwenda kumtoa dada wa watu kwenye Neno la Mungu na kumuingiza ktk uzinzi na kama hyo haitoshi kakutuma ulete hii habari hapa JF ili uendelee kutangaza ni jinsi gani ana nguvu yakuvuta watu ktk dhambi hata wale wanaojaribu kuwa karibu na Mungu! Pole lakini maana tayari umeshapata ujira wako uliyo haki yako!



 
Naamini kua MUNGU husamehe kwa maana yeye ni mpole na msikivu....!ila hii hadithi haukustahili kuileta hapa kwa kwl haina hata chembe ya maadili naamini ungebaki nalo moyoni na kulijutia ungesikilizwa zaidi samahani wanasema "sometimes its better to open your mind not your mouth" no hard feelingz bro' sorry km mm pia ni tatizo.
 
Teh mleta thread kaja hapa kutuambukiza dhambi zake...
Na mbaya ni kuwa ukimwambukiza mwezio, we bado unakuwa nazo... Yaani kama ukimwi vile.... Si kama chakula kwamba ukimpa mwenzio basi wewe unalala na njaa
 
Eti tukumbushie...yaan binadamu sijui huwa tukoje...mke wa mtu? Mnakumbushia nini? Uzinzi tu uliwajaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…