asante mkuu kwa ushauri wako nitaufanyia kaziKwanza nikupe pole kwa maswahibu ulioyapata ya kuondokewa na wanetu.
Pili, Huo sio uanamme, kumtegemea mwanamke Ili uje uwe na maisha mazuri inaonesha ni jinsi gan kijana hauko responsible, I wonder hata hao wanao wangebaki wazima sijui maisha ambayo wangeishi.
Finally, komaa na mwanamke wa mwanzo, after all the insane u have done to her, she still loves u and feeling sorry for what ur concubine has been passing through.
Good morningJF
lengo langu lilikua kufanya maisha na sio stareheMwanaume unapenda mteremko na mserereko wewe.... Yaani unasisitiza kuwa mipango yako mingi haijatimia kutokana na ahadi hewa na starehe za mwanamke mpya.....
Sasa mbona hukumchuna kwa akili?? Haki nacheka Kama mazuri vile??
nimekuelewa sana mkuuSimama kama mwanaume
Sifa za mwanaume
Mwanaume atamjari ampendae
Ata mlinda ampendae
Kumpigania ampendae
Haangalii tatizo anaangalia solutions
Komaa na huyo wa zamani mpende mlinde mpiganie na mtunze ukiendelea kupambana wanaume siku zote sio watu wakulaumu wewe ni kiongozi na mtatua matatizo
Huyo mwenye akili ni wa muhimu sana kuliko huyo wa starehe kwa afya ya future yako na watoto wako
asante mkuu kwa ushauriUshauri wa kwanza kabisa acha uzinzi! Tubu na umrudie Mungu. Ushauri wa pili fanya kutengeneza na huyu wa kwanza. Nenda naye kanisani mkatubu na kufunga ndoa takatifu. Ushauri wa tatu, baada ya kufunga ndoa uwe mwaminifu kwa mke wako, familia yako na zaidi sana kwa Mungu. Mafanikio ya kweli utayapata ukiwa na Yesu! (Umesema huyo wa kwanza ni mtu wa dini sana lakini mimi naona ondoa hiyo sana! Angekuwa wa dini sana asingezini!!
nimekuelewa mkuuKwa nilivyoelewa unahitaji mwanamke ambaye yupo njema kiuchumi ndio maana ulivyoachana na huyo mpya imekuuma umeyumba kiuchumi.
Huyo wa zamani unampenda sana shida hana hela ila ndio anakupa furaha ya kweli ndio maana ukashindwa kufanya maamuzi kipindi ulipokua na wote wawili.
Wanaume acheni kupenda mtelezo, vitabu vya dini vimeandika mtakula kwa jasho means wanaume mfanye kazi, mambo ya kudate na mtu kisa ana hela tuachieni sisi jaman(Joke)
Mkuu pambana hela ukizitafuta kwa bidii utazikamata nyingi tu