Kwa uliyohadithia unaona alivyosema hivo kakusingizia??? Eti akaanza visa wakati wewe ndio umeanza kuwachanganya. Very poor in reasoning, hebu tikisa dish lako uone kama chanel zinakamata vizuri mawimbi kichwani mwako.Huyu mpya akaanza visa na kusema mimi sio mwanaume mwenye msimamo zaidi ya kuendekeza umalaya na uongo uongo hivyo haoni tabu kama tukiishia hapa safari yetu.
Wewe ni zumbukuku kabisa umeshindwa kuchagua mwenye pesa na mwenye vision ya maisha ajili ya tamas zako mwenyewe. Just reap what you sow usiwalaumu hao wadada.Yule ya mwanzo bado ni mjamzito,ananipenda sana na ana akili sana ya maisha,kanishauri vitu vingi sana toka tufahamiane ila nilimuumiza sana kwa kumpiga tukio la ghafla.Naombeni msaada wenu wa ushauri wenu wana j.f nifanye nini ili niweze kuishi maisha yenye furaha na nitimize malengo yangu na nipige hatua kimaisha!!
Kwanza nikupe pole kwa maswahibu ulioyapata ya kuondokewa na wanetu.Mwishoni mwa mwaka jana muda kama huu nilipata msichana nikafahamiana nae na kufanya nae mapenzi kwa mara ya kwanza na kupata ujauzito.Alinitafuta ili anipe taarifa bahati mbaya sikua hewani kwa siku kadhaa,nakuja pata taarifa tayari ni mwaka mpya 2021 kua ana ujauzito wangu wa wiki kadhaa nikakubali ila sikua na uhakika asilimia zote.Tukapanga siku tuonane tukapima nikajiridhisha ni kweli mjamzito.Siku zikasogea na mapenzi kwake yakaongezeka.
Hatimaye tumbo likawa kubwa(ikatimia miezi 7)akajingua mapacha wakike na kiume bahati mbaya wakafariki kwa muda tofautitofauti nikawa nimepoteza viumbe vyangu nilivyovipenda tokea siku ya kwanza.Baada ya hapo kuna msichana nilifahamiana nae katika harakati zangu mkoani Tabora.Alitokea kunipenda sana na alijitoa kwa kila kitu kwaajili yangu(ana uwezo mkubwa kifedha).Hatukuwahi onana kabla ila alifanya kila kitu kwaajili yangu(nguo chakula,mavazi,etc.).Hatimaye tukaonana nikafanya nae mapenzi bila kutumia kinga kwa siku kadhaa naye akashika ujauzito.
Siku zikasogea na yule mama watoto wa mwanzo aliyejifungua mapacha(kabla ya muda) nikampa tena ujauzito kipindi hicho hicho.Wote wawili wakawa na ujauzito kwa wakati mmoja.Huyu mpya nikawa niko nae sana sambamba ikizingatiwa alikua ananipiga sana kampani nikiwa sina kitu.Tulipanga vitu vingi vya kimaisha ikiwemo kazi na biashara,tulifanya starehe za kila namna.
Siku akaja gundua kuhusu mama wa mwanzo na taarifa zake zote akapata.Akaanza kumsumbua na kumharibu kisaikolojia kua mimi sio mali yake tena hivyo akae mbali na mimi.Ikamuharibu sana yule wa mwanzo kupelekea kuhatarisha ujauzito wake kua hatarini(alipoteza fahamu mara kadhaa).Niliitwa hadi na wazazi wake wajue mustakabali wangu kwa binti yao(aliwaambia kila kitu kuhusu kupata msichana mpya) kama nampenda au nampotezea muda wake tu.Nikakiri nampenda na nitamlinda yeye na ujauzito wake .Nilitumia muda mwingi nikiwa na mpenzi mpya tukifanya starehe na kumsahau wa zamani ingawa wa zamani kimuonekano na kiakili ya maisha yupo vizuri sana.
Siku zikasogea huyu mpya akapata homa kali ikapelekea kupoteza ujauzito wake.Yule wa zamani akapata taarifa na kunipa pole na kusema ye hana tatizo na mimi na yote yaliyotokea ni mipango ya Mungu (ni mti wa dini sana).Huyu mpya akaanza visa na kusema mimi sio mwanaume mwenye msimamo zaidi ya kuendekeza umalaya na uongo uongo hivyo haoni tabu kama tukiishia hapa safari yetu.Tulipanga vitu vingi vya kimaisha lakini hakuna alichotimiza zaidi ya ahadi hewa na kutumia pesa zaidi katika starehe.Nipo katika wakati mgumu sana kwa sasa ikiwemo kukwama kwa mipango yangu mingi ya maisha niliyopanga na huyu mpya ambayo hakuitimiza zaidi ya starehe.
Yule ya mwanzo bado ni mjamzito,ananipenda sana na ana akili sana ya maisha,kanishauri vitu vingi sana toka tufahamiane ila nilimuumiza sana kwa kumpiga tukio la ghafla.Naombeni msaada wenu wa ushauri wenu wana j.f nifanye nini ili niweze kuishi maisha yenye furaha na nitimize malengo yangu na nipige hatua kimaisha!!
Mwanaume unapenda mteremko na mserereko wewe.... Yaani unasisitiza kuwa mipango yako mingi haijatimia kutokana na ahadi hewa na starehe za mwanamke mpya.....Mwishoni mwa mwaka jana muda kama huu nilipata msichana nikafahamiana nae na kufanya nae mapenzi kwa mara ya kwanza na kupata ujauzito.Alinitafuta ili anipe taarifa bahati mbaya sikua hewani kwa siku kadhaa,nakuja pata taarifa tayari ni mwaka mpya 2021 kua ana ujauzito wangu wa wiki kadhaa nikakubali ila sikua na uhakika asilimia zote.Tukapanga siku tuonane tukapima nikajiridhisha ni kweli mjamzito.Siku zikasogea na mapenzi kwake yakaongezeka.
Hatimaye tumbo likawa kubwa(ikatimia miezi 7)akajingua mapacha wakike na kiume bahati mbaya wakafariki kwa muda tofautitofauti nikawa nimepoteza viumbe vyangu nilivyovipenda tokea siku ya kwanza.Baada ya hapo kuna msichana nilifahamiana nae katika harakati zangu mkoani Tabora.Alitokea kunipenda sana na alijitoa kwa kila kitu kwaajili yangu(ana uwezo mkubwa kifedha).Hatukuwahi onana kabla ila alifanya kila kitu kwaajili yangu(nguo chakula,mavazi,etc.).Hatimaye tukaonana nikafanya nae mapenzi bila kutumia kinga kwa siku kadhaa naye akashika ujauzito.
Siku zikasogea na yule mama watoto wa mwanzo aliyejifungua mapacha(kabla ya muda) nikampa tena ujauzito kipindi hicho hicho.Wote wawili wakawa na ujauzito kwa wakati mmoja.Huyu mpya nikawa niko nae sana sambamba ikizingatiwa alikua ananipiga sana kampani nikiwa sina kitu.Tulipanga vitu vingi vya kimaisha ikiwemo kazi na biashara,tulifanya starehe za kila namna.
Siku akaja gundua kuhusu mama wa mwanzo na taarifa zake zote akapata.Akaanza kumsumbua na kumharibu kisaikolojia kua mimi sio mali yake tena hivyo akae mbali na mimi.Ikamuharibu sana yule wa mwanzo kupelekea kuhatarisha ujauzito wake kua hatarini(alipoteza fahamu mara kadhaa).Niliitwa hadi na wazazi wake wajue mustakabali wangu kwa binti yao(aliwaambia kila kitu kuhusu kupata msichana mpya) kama nampenda au nampotezea muda wake tu.Nikakiri nampenda na nitamlinda yeye na ujauzito wake .Nilitumia muda mwingi nikiwa na mpenzi mpya tukifanya starehe na kumsahau wa zamani ingawa wa zamani kimuonekano na kiakili ya maisha yupo vizuri sana.
Siku zikasogea huyu mpya akapata homa kali ikapelekea kupoteza ujauzito wake.Yule wa zamani akapata taarifa na kunipa pole na kusema ye hana tatizo na mimi na yote yaliyotokea ni mipango ya Mungu (ni mti wa dini sana).Huyu mpya akaanza visa na kusema mimi sio mwanaume mwenye msimamo zaidi ya kuendekeza umalaya na uongo uongo hivyo haoni tabu kama tukiishia hapa safari yetu.Tulipanga vitu vingi vya kimaisha lakini hakuna alichotimiza zaidi ya ahadi hewa na kutumia pesa zaidi katika starehe.Nipo katika wakati mgumu sana kwa sasa ikiwemo kukwama kwa mipango yangu mingi ya maisha niliyopanga na huyu mpya ambayo hakuitimiza zaidi ya starehe.
Yule ya mwanzo bado ni mjamzito,ananipenda sana na ana akili sana ya maisha,kanishauri vitu vingi sana toka tufahamiane ila nilimuumiza sana kwa kumpiga tukio la ghafla.Naombeni msaada wenu wa ushauri wenu wana j.f nifanye nini ili niweze kuishi maisha yenye furaha na nitimize malengo yangu na nipige hatua kimaisha!!
Msimamo wa maisha unao mwenyewe, maamuzi yako ndiyo yatadetermine furaha yakoMwishoni mwa mwaka jana muda kama huu nilipata msichana nikafahamiana nae na kufanya nae mapenzi kwa mara ya kwanza na kupata ujauzito.Alinitafuta ili anipe taarifa bahati mbaya sikua hewani kwa siku kadhaa,nakuja pata taarifa tayari ni mwaka mpya 2021 kua ana ujauzito wangu wa wiki kadhaa nikakubali ila sikua na uhakika asilimia zote.Tukapanga siku tuonane tukapima nikajiridhisha ni kweli mjamzito.Siku zikasogea na mapenzi kwake yakaongezeka.
Hatimaye tumbo likawa kubwa(ikatimia miezi 7)akajingua mapacha wakike na kiume bahati mbaya wakafariki kwa muda tofautitofauti nikawa nimepoteza viumbe vyangu nilivyovipenda tokea siku ya kwanza.Baada ya hapo kuna msichana nilifahamiana nae katika harakati zangu mkoani Tabora.Alitokea kunipenda sana na alijitoa kwa kila kitu kwaajili yangu(ana uwezo mkubwa kifedha).Hatukuwahi onana kabla ila alifanya kila kitu kwaajili yangu(nguo chakula,mavazi,etc.).Hatimaye tukaonana nikafanya nae mapenzi bila kutumia kinga kwa siku kadhaa naye akashika ujauzito.
Siku zikasogea na yule mama watoto wa mwanzo aliyejifungua mapacha(kabla ya muda) nikampa tena ujauzito kipindi hicho hicho.Wote wawili wakawa na ujauzito kwa wakati mmoja.Huyu mpya nikawa niko nae sana sambamba ikizingatiwa alikua ananipiga sana kampani nikiwa sina kitu.Tulipanga vitu vingi vya kimaisha ikiwemo kazi na biashara,tulifanya starehe za kila namna.
Siku akaja gundua kuhusu mama wa mwanzo na taarifa zake zote akapata.Akaanza kumsumbua na kumharibu kisaikolojia kua mimi sio mali yake tena hivyo akae mbali na mimi.Ikamuharibu sana yule wa mwanzo kupelekea kuhatarisha ujauzito wake kua hatarini(alipoteza fahamu mara kadhaa).Niliitwa hadi na wazazi wake wajue mustakabali wangu kwa binti yao(aliwaambia kila kitu kuhusu kupata msichana mpya) kama nampenda au nampotezea muda wake tu.Nikakiri nampenda na nitamlinda yeye na ujauzito wake .Nilitumia muda mwingi nikiwa na mpenzi mpya tukifanya starehe na kumsahau wa zamani ingawa wa zamani kimuonekano na kiakili ya maisha yupo vizuri sana.
Siku zikasogea huyu mpya akapata homa kali ikapelekea kupoteza ujauzito wake.Yule wa zamani akapata taarifa na kunipa pole na kusema ye hana tatizo na mimi na yote yaliyotokea ni mipango ya Mungu (ni mti wa dini sana).Huyu mpya akaanza visa na kusema mimi sio mwanaume mwenye msimamo zaidi ya kuendekeza umalaya na uongo uongo hivyo haoni tabu kama tukiishia hapa safari yetu.Tulipanga vitu vingi vya kimaisha lakini hakuna alichotimiza zaidi ya ahadi hewa na kutumia pesa zaidi katika starehe.Nipo katika wakati mgumu sana kwa sasa ikiwemo kukwama kwa mipango yangu mingi ya maisha niliyopanga na huyu mpya ambayo hakuitimiza zaidi ya starehe.
Yule ya mwanzo bado ni mjamzito,ananipenda sana na ana akili sana ya maisha,kanishauri vitu vingi sana toka tufahamiane ila nilimuumiza sana kwa kumpiga tukio la ghafla.Naombeni msaada wenu wa ushauri wenu wana j.f nifanye nini ili niweze kuishi maisha yenye furaha na nitimize malengo yangu na nipige hatua kimaisha!!
Ushauri wa kwanza kabisa acha uzinzi! Tubu na umrudie Mungu. Ushauri wa pili fanya kutengeneza na huyu wa kwanza. Nenda naye kanisani mkatubu na kufunga ndoa takatifu. Ushauri wa tatu, baada ya kufunga ndoa uwe mwaminifu kwa mke wako, familia yako na zaidi sana kwa Mungu. Mafanikio ya kweli utayapata ukiwa na Yesu! (Umesema huyo wa kwanza ni mtu wa dini sana lakini mimi naona ondoa hiyo sana! Angekuwa wa dini sana asingezini!!Mwishoni mwa mwaka jana muda kama huu nilipata msichana nikafahamiana nae na kufanya nae mapenzi kwa mara ya kwanza na kupata ujauzito.Alinitafuta ili anipe taarifa bahati mbaya sikua hewani kwa siku kadhaa,nakuja pata taarifa tayari ni mwaka mpya 2021 kua ana ujauzito wangu wa wiki kadhaa nikakubali ila sikua na uhakika asilimia zote.Tukapanga siku tuonane tukapima nikajiridhisha ni kweli mjamzito.Siku zikasogea na mapenzi kwake yakaongezeka.
Hatimaye tumbo likawa kubwa(ikatimia miezi 7)akajingua mapacha wakike na kiume bahati mbaya wakafariki kwa muda tofautitofauti nikawa nimepoteza viumbe vyangu nilivyovipenda tokea siku ya kwanza.Baada ya hapo kuna msichana nilifahamiana nae katika harakati zangu mkoani Tabora.Alitokea kunipenda sana na alijitoa kwa kila kitu kwaajili yangu(ana uwezo mkubwa kifedha).Hatukuwahi onana kabla ila alifanya kila kitu kwaajili yangu(nguo chakula,mavazi,etc.).Hatimaye tukaonana nikafanya nae mapenzi bila kutumia kinga kwa siku kadhaa naye akashika ujauzito.
Siku zikasogea na yule mama watoto wa mwanzo aliyejifungua mapacha(kabla ya muda) nikampa tena ujauzito kipindi hicho hicho.Wote wawili wakawa na ujauzito kwa wakati mmoja.Huyu mpya nikawa niko nae sana sambamba ikizingatiwa alikua ananipiga sana kampani nikiwa sina kitu.Tulipanga vitu vingi vya kimaisha ikiwemo kazi na biashara,tulifanya starehe za kila namna.
Siku akaja gundua kuhusu mama wa mwanzo na taarifa zake zote akapata.Akaanza kumsumbua na kumharibu kisaikolojia kua mimi sio mali yake tena hivyo akae mbali na mimi.Ikamuharibu sana yule wa mwanzo kupelekea kuhatarisha ujauzito wake kua hatarini(alipoteza fahamu mara kadhaa).Niliitwa hadi na wazazi wake wajue mustakabali wangu kwa binti yao(aliwaambia kila kitu kuhusu kupata msichana mpya) kama nampenda au nampotezea muda wake tu.Nikakiri nampenda na nitamlinda yeye na ujauzito wake .Nilitumia muda mwingi nikiwa na mpenzi mpya tukifanya starehe na kumsahau wa zamani ingawa wa zamani kimuonekano na kiakili ya maisha yupo vizuri sana.
Siku zikasogea huyu mpya akapata homa kali ikapelekea kupoteza ujauzito wake.Yule wa zamani akapata taarifa na kunipa pole na kusema ye hana tatizo na mimi na yote yaliyotokea ni mipango ya Mungu (ni mti wa dini sana).Huyu mpya akaanza visa na kusema mimi sio mwanaume mwenye msimamo zaidi ya kuendekeza umalaya na uongo uongo hivyo haoni tabu kama tukiishia hapa safari yetu.Tulipanga vitu vingi vya kimaisha lakini hakuna alichotimiza zaidi ya ahadi hewa na kutumia pesa zaidi katika starehe.Nipo katika wakati mgumu sana kwa sasa ikiwemo kukwama kwa mipango yangu mingi ya maisha niliyopanga na huyu mpya ambayo hakuitimiza zaidi ya starehe.
Yule ya mwanzo bado ni mjamzito,ananipenda sana na ana akili sana ya maisha,kanishauri vitu vingi sana toka tufahamiane ila nilimuumiza sana kwa kumpiga tukio la ghafla.Naombeni msaada wenu wa ushauri wenu wana j.f nifanye nini ili niweze kuishi maisha yenye furaha na nitimize malengo yangu na nipige hatua kimaisha!!
katika maisha zinatokea situations kama hizi kama mwanaume unaweza toa ushauri nini kifanyike na sio kukosoa upande wangu tuuKwa uliyohadithia unaona alivyosema hivo kakusingizia??? Eti akaanza visa wakati wewe ndio umeanza kuwachanganya. Very poor in reasoning, hebu tikisa dish lako uone kama chanel zinakamata vizuri mawimbi kichwani mwako
Wewe ni zumbukuku kabisa umeshindwa kuchagua mwenye pesa na mwenye vision ya maisha ajili ya tamas zako mwenyewe. Just reap what you sow usiwalaumu hao wadada.
future ninayo mkuu ndio maana nimekuja hapa kuomba ushauri ili nisonge mbeleWewe ni mjinga na mpumbavu wote tuseme "AMEN"
Kwanza huna sifa ya kuwa baba maana bado una uvulana mwingi, unapenda mtelemko, na huna future yeyote zaid ya kuwaza starehe