PostGE2025 Yaliyonifurahisha katika Azimio la EU

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,018
Reaction score
20,489
YALIYONIFURASHA KATIKA AZIMIO LA EU.

Bunge la Umoja wa Ulaya tarehe 26 Novemba 2025 lilitoa azimio lao juu ya Tanzania kufuatia machafuko ya 29/10/2025 na hali ya Haki na demokrasia nchini kwa ujumla. Katika azimio lao lenye hoja 9, Binafsi nimevutiwa na hoja mbili hasa ile ya kwanza ambayo ndio msingi wa azimio zima. Hoja zingine 7 nakubaliana nazo na sio mpya ni wimbo wa miaka mingi, isipokuwa hizi mbili zilizobeba azimio zima.

Katika hoja (A) ambayo ndio IMEJENGA MSINGI wa Azimio, EU wanasema, Nanukuu; “whereas Tanzania’s 29 October 2025 elections were sharply criticised by African regional election observation missions, including those of the African Union and the Southern African Development Community (SADC); whereas the EU was not invited to deploy an election observation mission;”

EU wamezalisha “dhana” kuu mbili katika kipengele hiki, ambazo ni (1) Wanasema hadharani kuwa hawakualikwa kufanya Uangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, (2) Wametumia rejea ya ripoti ya AU na SADC katika kujenga msingi wa tamko lao. Tafsiri yake ni kuwa EU hawana taarifa zao binafsi juu ya Uchaguzi wa Tanzania, very interesting.

Katika hili kwenye dhana ya (1) EU wameidanganya dunia, kwakuwa ukweli nikwamba tarehe 26 Julai 2025 EU Walipewa Kibali na Tanzania kuja kufanya shughuli za uangalizi wa uchaguzi mkuu Tanzania. Tume ikatangaza katika taarifa kwa umma juu ya madhirika ya Kimataifa yaliyopewa ruhusa ya kufanya uangalizi wa Uchaguzi na EU ikiwemo, angalia namba 4, Hata wenye tovuti ya Tume ya Uchaguzi Kuna Taarifa kwa Umma inayoonyesha kuwa EU Delegation to Tanzania walipewa "KIBALI CHA UANGALIZI". Kwenye sheria kuna msimamo wa kisheria unaosema, ukivunja msingi wa hoja, basi hoja nzima inakufa.

Dhana ya (2), Kwanini EU hawakuja kufanya kazi ya uangalizi wakati wa uchaguzi ilihali waliomba na kupewa kibali? Ukweli ni kwamba walikuwa kwenye NRNE. Hivyo msingi wa Azimio la EU umesimama kwenye taarifa zisizo verified kwa sababu hawakufanya Uangalizi wao binafsi. Kanuni ya msingi ya ripoti ya uangalizi wa chaguzi mwanachama hatatoa ripoti kupitia third part/third person bali kwakuona kwa macho yake ya nyama. Ifahamike na kueleweka hapa najadili msingi,Dhana na mantiki ya tamko la EU sio uchaguzi ulikuwa huru ama laa, hili kila mtu anafahamu uchaguzi ulikuwa wa magumashi.

Hoja pili niliyovutiwa nayo ni hoja namba (D) Nanukuu “whereas opposition leaders Tundu Lissu and Luhaga Mpina were barred from running in the elections;” Tafsiri ya Kiswahili ni; (ambapo viongozi wa upinzani Tundu Lissu na Luhaga Mpina walizuiwa kugombea katika uchaguzi huo).

Sasa twendeni pamoja, Hoja hii imepotoshwa tena kwa maksudi tu, Ukweli ni kwamba aliyezuiwa kugombea ni Luhanga Mpina kutoka ACT Wazalendo pekee na sio Tundu Lissu, Ni suala la Wazi kuwa Lissu na Chadema kwaujumla walitangaza hadharani kuwa wao hawatashiriki uchaguzi na badala yake watauzuia uchaguzi huo kwanjia ya Maandamano, Lissu akatangaza hadharani kwamba watakinukisha na watauvuruga kabisa uchaguzi, Wakakataa hata kwenda kusaini kanuni za Uchaguzi, hawakuishia hapo wakati wa uchukuaji fomu za kugombea kwenye tume huru ya Uchaguzi, waliwazua mwanachama wao popote nchini kuchukua fomu. Na ni kweli hakuna mahali popote ambapo mwanachama wa Chadema alikwenda kuchukua fomu akanyimwa na tume.

Sasa leo ukiona chombo/Taasisi kubwa duniani kama EU inautangazia ulimwengu kuwa Lissu alizuiwa kugombea uchaguzi wakati sio kweli bali alisusia, inatisha shaka sana uhalali wa hili azimio na nia ya hawa watu dhidi ya Tanzania. Hoja hii imenifurahisha sana. Kama EU wanaweza kudanganya kwa vitu vidogo kama hivi ambavyo viko wazi dunia nzima, ni mangapi ambayo wamedanganya ya sirini Dunia!? EU Wana Maslahi gani na huu uongo?.

Nakubaliana kwa asilimia miamoja na Msimamo wa Rais Samia, kwamba tupokee ushauri wao, Tukatae maelekezo yao!

Sasa twende kwenye dhana nzima ya Azimio hili na mstakabali wa nchi yetu, Kuhusu suala la EU kusitisha msaada wake kwa Tanzania ambao una total ya Euro 156 Million watu wengi wanajadili kwa mihemko na wakati mwingine nje ya context kabisa; Guru Mwita Mwita asema Iko hivi;

1. Azimio la EU limesema hatua za kusaini mikataba ya kifedha (Joint Financial Agreements) katika ya Tanzania na EU zisimamishwe kwanza ambapo technically hizi agreements zilitakiwa kuwa signed this November na sio azimio la EU kwamba zifutwe. This means bado ipo room ya mazungumzo ili hii pause iwe lifted au maintained.

2. Kitu kimoja watu hawajakitazama ni kwamba, sio misaada yote ya EU imesitishwa kwa Tanzania. Programu zingine za zamani za EU zinazendelea kutekelezwa kama kawaida na halijaathiri chochote; mfano wa moja ya shughuli inayotekelezwa ni mradi wa Together4Value awamu ya kwanza na mingine mingi. Athari pekee ipo kwa hii iliyokua inasubiri saini za JFA’s ambazo ndio zimepata pause.

3. Fedha zote za misaada kutoka EU hutumia mfumo wa indirect management ambapo ni kiasi kidogo sana ndio huwa kinaenda straight Serikalini (hii ni misaada sio mikopo) na mara zote EU hutaka fedha ziende straight kwenye miradi husika na Serikali anabaki na kazi ya oversight tu tena katika policy level.

4. Suala lingine linalopotoshwa ni kuhusu ukubwa wa madhara ya uamuzi huu, hususani kwenye Bajeti ya Serikali. usahihi ni kwamba kiasi cha Euro Milioni 156 kwenye Programu ya Ushirikiano na EU kwa mwaka 2025 siyo kwamba ni Bajeti ya Serikali Kuu (Budget Support), wala hazitarajiwi kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali. Hakuna uhusiano wowote!

Fedha hizo zilikua marked and planned kwa miradi mitatu TU ambapo kama nilivyosema hapo juu zinakua managed na EU wenyewe kupitia Model yao ya Indirect Management huku Serikali ikibaki kuwa na just oversight role. Miradi hiyo ni ipi sasa ambao ndio watakua victim wa hii pause, ni hawa;

a) Mradi wa Together4Value

Hii project ina value ya Euro milioni 129, target yake ni kuimarisha minyororo ya thamani katika sekta za madini na kilimo. Kati ya fedha hizi i mean 129M ni Euro milioni 13 pekee ndizo ambazo zinakwenda moja kwa moja kwenye taasisi za Serikali (Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji) sawa na asilimia 1% ya mradi wote. Sehemu kubwa ya fedha, almost Euro milioni 116 zitasimamiwa kupitia utaratibu wa indirect management kupitia mashirika ya nje ambayo yanahusiana na EU, taasisi binafsi za ndani na za kimataifa na kampuni za ushauri (consulting firms).

b) Mradi wa Uchumi wa Kidijitali Tanzania na Uunganishaji (Tanzania Digital Economy and Connectivity Initiative – TANTECH)

Mradi huu wenye thamani ya Euro milioni 20, unalenga kukuza maendeleo ya uchumi wa kidijitali na ubunifu. Kati ya fedha hizi, Euro milioni 1.5 ambazo ni sawa na asilimia 7.5 ya Bajeti yote ndio zinazokwenda moja kwa moja kwenye wizara husika ndani ya Serikali (Wizara ya Habari). Fedha zinazobaki zinakwenda Euro milioni 18 zitaelekezwa kupitia mfumo wa indirect management kwa taasisi za kimataifa kama vile EU, NGOs na sekta binafsi.

c) Mfuko wa Ushirikiano (Cooperation Facility)

Mradi huu wenye Euro milioni 7, unalenga kusaidia uratibu wa ushirikiano Tanzania na EU. Kati ya hizi fedha, Euro milioni 6.3 ambazo ni sawa na asilimia 89.1% ya fedha zote za mfuko huu zitaelekezwa kupitia mfumo wa indirect management kwa taasisi za nje kama vile EU, NGOs, n.k. Ni Euro milioni 0.7 sawa na asilimia 10.5 ndizo zinakwenda moja kwa moja kwa taasisi za Serikali.

Kwa hiyo logically, hakuna mahala popote hii pause ya EU inagusa bajeti kuu ya Serikali, fedha yote 156M ilikua projected kwa miradi ambayo over 90% inaenda Private Sector, inasimamiwa na EU wenyewe na Wizara moja ya Serikali OR-Mipango na Uwekezaji inapata less than 1M ndio inaenda Serikalini kwa ajili ya role yake ya Policy oversight.

Na Yericko Nyerere
IMG_1368.jpeg
ab1eb6d6-52b0-4a57-bb68-b20ccb4e924e.jpeg
b7c49ce7-76e0-4bcc-8bfc-356f8af4bf96.jpeg
 
Na Yericko NyerereView attachment 3509148View attachment 3509151
Kwamba wewe una akili kuliko wabunge wote wa EU. Acha kutumia meno kufikiria na kuandika, tumia ubongo
 
Tumejikita kwenye technicalities wakati uhalisia ni kwamba Mamlaka inapwaya
  1. Moja mpaka leo hii hatukupaswa hata kutegemea misaada; tunategemea sababu ya kupwaya kwa serikali zilizopo
  2. Hata hio misaada huwa ikija hatuoni faida yake huko chini inapigwa na kuchezewa
Kwahio badala ya kujikita kwenye utembezaji wetu bakuli kwamba tunaonewa kutokuendelea kusaidiwa tungejikita kwanza hata kabla ya yote kwanini mpaka leo ni ombaomba na viongozi wetu hawaishi maisha yanayoakisi umasikini wetu ? - He who feeds you, Controls You.....

Jasusi bamia.
 
Wewe bure kabisa, takataka
 
Kijana njaa itakuua
 
Back
Top Bottom