Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MPYA WA TANZANIA

Arusha Mambo FM tunarusha moja kwa moja Sherehe za Kuapishwa Rais Mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo Nov 5. 2015 kutokea Arusha - Tanzania,

Ili kusikiliza Visit: www.arushamambofmradio.co.tz AU

Kwa kutumia any Smart Device nenda kwenye Google Play na Download " tunein " kwenye simu yako ili uweze kusikiliza au nenda kwenye google utafute "Arusha Mambo FM

******
JIONI (Saa10)tutarusha Mahubiri na Mafundisho ya Mwl. Christopher Mwakasege kutokea Arusha
KARIBU NA WAAMBIE WENGINE.

Semina ya Neno la Mungu na Mwl. Christopher Mwakasege, Uwanja wa Reli Arusha Tar. 1 - 8, Nov. 2015, kuanzia Saa 8 - 12 Jioni. NJOO UKUTANE NA YESU
 
Siku ya kupiga kura ilinyesha Chato.

Siku ya kutangazwa mshindi ilinyesha Dar(Diamond jubilee na mzazi mmoja).

Leo siku ya kuapishwa Inanyesha Dar (jiji lote ni mvua)

Kunyesha mvua za manyunyu ni inshara nzuri kwa shughuri yoyote inakua na bar aka za Mwenye Mungu lakini ukiona Mvua kubwa ujue ni inshara mbaya Shughuri haina baraka,Mungu anaonyesha hasira yake kwa shughuri hiyo..anawazuia watu wengi wasihudhurie Tamasha hilo ni inshala ya kuwa kulikua na dhuruma kwenye mchakato mzima. Tafakarini
 
Siku ya kupiga kura ilinyesha Chato.

Siku ya kutangazwa mshindi ilinyesha Dar(Diamond jubilee na mzazi mmoja).

Leo siku ya kuapishwa Inanyesha Dar (jiji lote ni mvua)

Hii inamaanisha nini wadau?

Na siku akifungua kesi za Mafisadi inyeshe pia ...................!!
 
Rekebisha heading....sema rais wa ccm...nenda taifa ndio utakubali ninayoyasema ...maana utakutana na kijani na njano uwanja mzima

hamieni Uganda na Lowasa wenu kuna mchakato wa uchaguzi umeanza jana labda utabiri wa T.B. Joshua unaweza kutimia kwa Tanzania Magufuli ndiyo Rais na Amiri Jeshi Mkuu
 
Nilikuwa ninaangalia jiji la DAR kwa leo na kuona kwa kiasi fulani limepoa. Hii inadhihirisha watu wengi wa Dar wapo ukawa. Sasa ninajiuliza Ukawa ingeshinda Dar si leo ingelipuka kwa fuaha wakati wa kuapishwa rais.Mheshimiwa Magufuli atakuwa na kazi kubwa ya kuwarudishia furaha watu wa Dar waweze kusahau yaliyopita na wajenge nchi.


Ukawa imeshinda, ila inchi ilipinduliwa. Hivi vyama vya siasa (JWTZ, NEC, na mapoliccm) vimepindua nchi kwa kubania matokeo kwa siku ne wakiyachakachua. Hii hata mtoto mdogo anajua, na habari ndiyo hiyo.

Jamaa hawajiamini, hebu angalia jinsi walivyomwaga askari na mashushushu mitaani yaan wanajua wako vitani kwani kila tu wanahisi ni mpinzani na aliwakata kwenye sanduku la kura. Pole sana maguu-fool.
 
Siku ya kupiga kura ilinyesha Chato.

Siku ya kutangazwa mshindi ilinyesha Dar(Diamond jubilee na mzazi mmoja).

Leo siku ya kuapishwa Inanyesha Dar (jiji lote ni mvua)

Hii inamaanisha nini wadau?

Anakubalika Hadi Na Mwenyezi Mungu Na Siyo MSHIRIKINA Kama Anayebaki Kulialia Sasa.
 
Hii watu kuvaa nguo za kijani sio ishara nzuri kabisa,elimu,elimu,elimu
 
Back
Top Bottom