Sitta anasema mradi wa maji kutoka ziwa Victoria ulitekelezwa na Mkapa na si Lowasa pekee...pia Mwandosya alihusika.
Operation delete ukawa; kanda ya ziwa.
Nyumbani kwa mgeja ............... Mpiga dili .
Matukio katika Picha...
View attachment 291381
Wanakijiji wa Burige wamejitokeza barabarani alfajiri kuzungumza na Dkt. Magufuli, akielekea Shinyanga vijijini.
Nilimkataa Lowassa akiwa ndani ya CCM, ninaendelea kumkataa akiwa nje ya CCM.
Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.
I can't let our beautiful country go to the dogs
Genge la ubinafsi na ufisadi limeondoka na kuhamia CDM- Sitta
Nna uhakika hata hapo mlipo umeme umekatwa, na bado mnaipigia domo ccm!!! Embu fikiria ewe mtanzania!!toka hapa mabadiliko ngani? na hiyo ilani yenu ya kumutoa jela babusea?
Sitta anasema mradi wa maji kutoka ziwa Victoria ulitekelezwa na Mkapa na si Lowasa pekee...pia Mwandosya alihusika.
toka hapa na wewe mabandiliko ngani hayo nahiyo ilani yenu yakumutoa babusea kifungoni?
Nilimkataa Lowassa akiwa ndani ya CCM, ninaendelea kumkataa akiwa nje ya CCM.
Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.
I can't let our beautiful country go to the dogs
matukio katika picha...
View attachment 291381
wanakijiji wa burige wamejitokeza barabarani alfajiri kuzungumza na dkt. Magufuli, akielekea shinyanga vijijini.
Nna uhakika hata hapo mlipo umeme umekatwa, na bado mnaipigia domo ccm!!! Embu fikiria ewe mtanzania!!
kweli mmechoka mnadelet ukawa wakati haaipo ukawa ndo wana delete ccm coz ndo imeshika dola
rudi nchini kwako kwanza.
Lowasa yupo tayari kutumia fedha ili atwae madaraka- Sitta