Mnataka mbowe aondoke mnunue Chama Sio?Msimsingizie Mungu, chadema hamna mioango ya kisiasa, na mmesahau kuwa Mbowe hana tofauti na Mugabe anzeni nae kwanzaaaa
Kila siku pakicha tumeonewa bado mpo;Kesho tumeonewa hii itakuwa mpk lini?Nini njia ya kutokuonewa? Mnachosha wananchi kusikia mnaonewa;Ushauri wangu Daini katiba hachaneni na Bunge na Mengine itafika 2020 mtatwambia mnaonewa.Jiteteeni hakuna njia
rubbish
Kama ni kweli mliyoandika hapa, basi tunajitukana WaTz kuwa hatujui umuhimu wa kura ya kila mmoja wetu.
Kwa madai yenu ninyi hapa chini, basi wapiga kura wangepiga kura za chuki dhidi ya CCM, na si vinginevyo maana kura ni ya siri. Hakuna anayelazimishwa kumchagua mgombea asiyempenda kwenye sanduku la kupigia kura.
Dola ni nguvu unataka utumie sala?huo siyo uhalisia,uhalisia ninkwamba bila nguvu, ccm haiwezi kushinda hata siku moja.
Huko nyuma hukua hivyo washakuharibu kabisa.Nilisema kuwa dawa ya hawa CDM wanaopenda kuvunja sheria (civil disobedience) ili wapate umaarufu ni kupewa mkong'oto wa nguvu (staili ya Kenya) hivyo kwamba watafikiria mara mbili mbili kurudia tena huu uvunjifu wa sheria.
Haya mambo ya kuwanyunyizia maji na moshi, halafu kuwafunga pingu za plastiki na kuwalaza mahabusu (chai asubuhi, ugali wa mwindebe mchana, na wali/nyama jioni) unawaendekeza hawa. Wakipambana na kwata ya nguvu watawaambia viongozi wao kuwa watangulie wao safari nyingine.
Teknolojia ipi ile kama alivyorekodiwa mnyeti?Inakuwaje na teknolojia ya miaka hii hamrushi picha za matukio.. si mnajua ni nyie mnapanga kupigawenzenu ili wakiumia mrushe..
Ruaheni za matukio tuone hao mnaodai wametenda hayo. Nawaonea huruma walioumia kwa kutendwa na nyie nyie ndani ya chama chenu ili msingizie CCM.
Kwanza ujue kabisa..kwamba watu hawasemi sababu ni Chadema...hapana...Watu tunataka haki na uhuru...ccm hata ikishinda asilimia 120..wala hakuna tatizo hiyo ndo democracy....TATIZO kupata kura wakati kuna misconducts kibao ambazo zimeonekana, hao Chadema ingawa ni upinzaji lkn sio vichaa kwamba waanze kulalamika tu....Hao Chadema ni watanzania pia....
Tunachotaka ni uchaguzi wa huru na haki bila hizi fujo ambazo zinataarifiwa...mpaka Mbowe katangaza kujitoa kwenye uchaguzi....
Vyombo vyetu vinavyohusika vinapaswa kufanyia kazi malalamiko..na kama ikionekana kwamba wakina Mbowe na viongozi wengine wa upinzaji walikuwa wanasema uongo..basi sheria ichukue mkondo wake.....
Sisi hatuna ushabiki...tunataka Tanzania sawa kwa watu wote
Maswali mawili tu nijibu:Kwanza ujue kabisa..kwamba watu hawasemi sababu ni Chadema...hapana...Watu tunataka haki na uhuru...ccm hata ikishinda asilimia 120..wala hakuna tatizo hiyo ndo democracy....TATIZO kupata kura wakati kuna misconducts kibao ambazo zimeonekana, hao Chadema ingawa ni upinzaji lkn sio vichaa kwamba waanze kulalamika tu....Hao Chadema ni watanzania pia....
Tunachotaka ni uchaguzi wa huru na haki bila hizi fujo ambazo zinataarifiwa...mpaka Mbowe katangaza kujitoa kwenye uchaguzi....
Vyombo vyetu vinavyohusika vinapaswa kufanyia kazi malalamiko..na kama ikionekana kwamba wakina Mbowe na viongozi wengine wa upinzaji walikuwa wanasema uongo..basi sheria ichukue mkondo wake.....
Sisi hatuna ushabiki...tunataka Tanzania sawa kwa watu wote
*SALAMU KUELEKEA 2019&2020*
CCM YATEST MITAMBO......
Katika kata 43 zilizorudia uchaguzi leo tarehe 26/11/2017 kwa matokeo ya mwaka 2015
CCM tulikuwa na kata 20
Chadema walikuwa na kata 20
CUF walikuwa na kata 2
ACT walikuwa na kata 1
Baada ya miaka miwili ya Mhe Rais Dkt Magufuli akiisimamia kwa weledi na kasi kubwa ilani ya uchaguzi ya CCM 2015-2020 watanzania wameamua kumtunuku zawadi kwa kuipa CCM ushindi wa kimbunga wa 93% kwa kupata kata 40/43 huku chadema wakipata 2 na CUF 1.
Hiki ni kipigo cha kikatili sana.....
Asante watanzania kwa kuamua kuiunga mkono CCM na kumuunga mkono Mhe Rais Dkt Magufuli kwa kazi nzuri anayotenda. Ushindi huu ni kielelezo kuwa mnafurahishwa na kazi inayofanyika na mna imani kubwa na mageuzi yaliyofanywa na CCM.
#CCM_MPYA_TANZANIA_MPYA
Tume huru haitaki, tumeshajiandaa kufa 2020 lakini hatutakufa peke yetu. Mchuma janga hula na wa kwao.Wamefanya sahihi maana walichofanya leo kinaonyesha mwaka 2020 itakuwa mara elfu zaidi kwa maana hiyo kama wapinzani wakiamua kuingia kichwa kichwa bila tume huru ya uchaguzi amini usiamini wanaenda kufa maelfu kama si mamilioni.
Wengi wameshasema kwa mwendo huu hata kwenye kituo hawatafika
Maswali kama hayo majibu yako nje nje wala haina haja ya kujibu....ni kama notes tu...just pata uhalisia wa kinacholalamikiwa na upinzani..je ni kweli au si kweli...Kama ni kweli bac majibu ya maswali yako yatakua yamepatikanaMaswali mawili tu nijibu:
1) Uchaguzi huru maana yake ni nini?
2) Mazingira ya uchaguzi huru ni yapi?