ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 19,838
- 28,482
Not yet. Subiri tujiulizeBaba yao kapigwa
Not yet. Subiri tujiulizeBaba yao kapigwa
Sidhani. Kenyatta hakuwa anachukiwa kiasi hiki. Wakikuyu ndiyo wamesababisha. Angekuwa ni mkikuyu mwenzao wangempigia kwa wingi. BTW ujue kilichofanya matokeo yawe hivyo ni watu hasa vijana kutojitokeza kwa wingi kupiga kura.
Never give upJust Give up on some issues don't force.....ndicho nilichojifunza kutoka kwa Mzee wangu hapaView attachment 2324733
AICRuto n dhehebu gani?
Wavaa kobazi hawataniacha salama hapa.
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
You are right.
Uhuru alikuwa timu Odinga 100%. Hiyo siyo chenga, hiyo ni failure. Wamefeli wote
Ruto na Uhuru wamemchezea mchezo mbaya sana Mzee wa watu.Ruto ni mtu Smart sana.
🤣😂Not yet. Subiri tujiulize
How kajumlishe matokeo si form zipoYou are right.
Tuliwaambia watu humu Ruto anachukua wakaleta analysis za kitoto.Sidhani. Kenyatta hakuwa anachukiwa kiasi hiki. Wakikuyu ndiyo wamesababisha. Angekuwa ni mkikuyu mwenzao wangempigia kwa wingi. BTW ujue kilichofanya matokeo yawe hivyo ni watu hasa vijana kutojitokeza kwa wingi kupiga kura.
Azimio wenyewe wanajua wameshindwa maana form zipo public. Sasa hapo utatumia hoja gani mahakamani!Azimio wataenda mahakamani, matokeo yatatenguliwa.
Ruto na Uhuru wamemchezea mchezo mbaya sana Mzee wa watu.
Uhuru alitumia nguvu nyingi kumpambania Odinga. Risk iliyokuwepo ni kwamba nguvu zilizotumika zilimuongezea ushawishi Odinga na zingeweza mletea ushindi. Bila kuungwa mkono na state apparatus angepata pungufu ya hapa na au angeibiwa kura.hahahaha ndio jibu ambalo linamfanya Uhuru abaki safe na Odinga kuamini hivyo.
Kila kitu kipo wazi?Nimependa mchakato mzima ulivyoendeshwa mpaka kutangazwa kwa Ruto. Kila kitu kipo wazi.
Uhuru aliwahi kuwa na kesi ya kuvuruga uchaguzi pale The Hague. Kuwa na kesi ya pili ni risk maana anaondoka madarakani sasa.Kwamba mkuu unaamini kabisa kwa Afrika yetu hii unaweza kuwa na ugomvi na Rais na ukatoboa?
Kwamba Uhuru angekuwa hataki Wafula atangaze mshindi leo Wafula angefanikiwa kutangaza?
Kama ndivyo basi Uhuru na Jamhuri ya Kenya ni nembo ya utawala bora na darasa kwa Afrika nzima.
Uhuru aliwahi kuwa na kesi ya kuvuruga uchaguzi pale The Hague. Kuwa na kesi ya pili ni risk maana anaondoka madarakani sasa.
Ruto ni mtu tough kakaa kwenye siasa miaka mingi akiwa ngazi za juu. Hata Uhuru angemtoa kwenye chama bado angekuwa tishio kwenye uchaguzi. Labda angemuua kama ambavyo Daniel Arap Moi alifanya kwa wagumu
Wafula Chebukati sio mzembe. Huoni wenzake wakiongozwa na mama waliobebwa kwenye tume na Uhuru walivyojiondoa. Wafula ni mtu mwingine kabisa sio kina Jecha na yule bwege wa "Watanzania wanataka maji, sio blah blah"