Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Sina tatzo na ushindi wake kuna mtu amesema anamiliki hekta za mashamba ya mahindi Kongo najiulza anapata ujasiri wakumilik ardhi Kongo .
Kongo DR ni shamba la bibi sema mimi na ww hatuna pesa chafu tungekuwa nazo saa hii tungekuwa PARIS tunagonga mvinyo huku tukituma transactions makamanda walio msituni wanatuchotea mali. Hatuna hela mkuu
 
Sina tatzo na ushindi wake kuna mtu amesema anamiliki hekta za mashamba ya mahindi Kongo najiulza anapata ujasiri wakumilik ardhi Kongo .
Kongo DR ni shamba la bibi sema mimi na ww hatuna pesa chafu tungekuwa nazo saa hii tungekuwa PARIS tunagonga mvinyo huku tukituma transactions makamanda walio msituni wanatuchotea mali. Hatuna hela mkuu
 
1660498922001.jpg
 
Kwamba mkuu unaamini kabisa kwa Afrika yetu hii unaweza kuwa na ugomvi na Rais na ukatoboa?

Kwamba Uhuru angekuwa hataki Wafula atangaze mshindi leo Wafula angefanikiwa kutangaza?

Kama ndivyo basi Uhuru na Jamhuri ya Kenya ni nembo ya utawala bora na darasa kwa Afrika nzima.
Mbona alimpigia kampeni? Huwezi kuzunguka kupiga kampeni kama hutaki huyo mtu ashinde. Kilichotokea nadhani kuwa walijiamini sana wakaona wanashinda.

Kenyatta ana base kubwa sana ya wapiga kura kutoka kabila lake la wakikuyu. Na pia Raila miaka yote ya uchaguzi anakuwa na wapigakura wengi sana.

Kulichofanya ashindwe ni kuwa wakikuyu wengi wamemgeuka Kenyatta. Kwa hiyo juhudi za kuokoa jahazi zimekuja kufanyika too late.
 
Tatizo limetokea baada ya IEBC kupokea matokeo huku tayari wakiwa ukumbini wakisubiri kutangazwa mshindi, kitendo kilichowafanya baadhi ya wasimamizi wa IEBC kuyakana.
 
Mbona alimpigia kampeni? Huwezi kuzunguka kupiga kampeni kama hutaki huyo mtu ashinde. Kilichotokea nadhani kuwa walijiamini sana wakaona wanashinda. Kenyatta ana base kubwa sana ya wapiga kura kutoka kabila lake la wakikuyu. Na pia Raila miaka yote ya uchaguzi anakuwa na wapigakura wengi sana. Kulichofanya ashindwe ni kuwa wakikuyu wengi wamemgeuka Kenyatta. Kwa hiyo juhudi za kuokoa jahazi zimekuja kufanyika too late.
Bado naamini huu ni mchezo wa Intelijensia ya Kenya.

Kilichowakera Wakenya ni wao kumuona Raila kama project ya Uhuru mkuu. Hata hiyo ya kumpigia kampeni inawezekana ni ushauri wa Intelijensia yao ili kuwakwaza zaidi Wakenya. Na ilifanikiwa kwa 100% maana watu walianza kumuunga mkono Ruto ili kumkomoa Uhuru.

Mimi naweza kukupigia wewe kampeni lakini ndani kwa ndani namuunga mkono mgombea mwingine kabisa.

Kwakuwa najua watu wanaichukia serikali yangu,nikikuunga mkono wewe watu watakuchukia na wewe pia, huoni hiyo sayansi?😂
 
Back
Top Bottom