Hapa ni hifadhi ya maiti ya Lee Funeral Home.., alikua ametoka kutazama maiti ya mtu mashuhuri.., sijui ni ya Moi ama Kibaki.,Good morning our Neighbor's KenyaView attachment 2321510
Umeelewa kweli wewe? Wana uhuru wakutoa kile ambacho kina uhalisia sio kwenda nje hadi ya mipaka ya uhuru.Hawa si wana katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!? Wanabinyaje tena huru wa kupata habari!?
🤣🤣🤣🤣Wajakoyah kasha maliza mchezo anasubiri kuapishwa
Nahici wikiHivi matokeo ya Urais Tanzania yalichukua muda gani kutangazwa baada ya kupiga kura?
We jamaa una akili kichwani???Sheria inasema mshindi apate kura zaidi ya 50%
Sasa 50% kwa 50% unashinda vipi?
Ukifingua hiyo link front kabisa kuna forms portal...
Nani ambaye hatakiwi kupewa?Kwa maelezo ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya, naona kutakuwa na second round but mseto sidhani kama Ruto atakubali huo ujinga.
Na kwa uhalisia tunaouona mpaka sasa hakuna mshindi wala anayeweza kupata 50.1% ya kura zote.
Na huu mchezo umechezwa makusudi kabisa kwa jinsi ambavyo jamaa atakiwi kupewa nchi.
Lugha rahisi ni kwamba mshindi inabidi apate nusu ya kura na nyongeza yoyote hata kama ni kura moja au zaidi.Pia ashinde county 24 kati ya 47.Hebu tuwekane sawa, mshindi anatakiwa awe na kura 50% plus 1 vote? Au 50% plus 1%?
Hebu tuelewane hapa kwanza, maana shule zetu za kata ni janga la Taifa mtu hadharani anacomment bila wasiwasi halafu Wakenya wanatucheka.
Huyo wa 600 atakuwa hajapata50% + Kura MOJA HALALI.
Mfano
Total votes 1201
Cand 1 amepata 601
Cand 2 amepata 600
Ukiweka kwa % hao wote itasoma 50% but kuna mmoja hapo amepata 50% + Kura moja.
Tunachoma moto kama FreemasonVipi tunazika kabisa au tunasafirisha?
Ni 50% plus 1 vote.Sheria inasema mshindi apate kura zaidi ya 50%
Sasa 50% kwa 50% unashinda vipi?
Kwani Tanzania tumewahi kufanya uchaguzi mkuu
Kama mama yako tu, akili zipo kwenye wowowo.We jamaa una akili kichwani???
Labda kaumaliza mchezo wa kuvuta bhange...Wajakoyah kasha maliza mchezo anasubiri kuapishwa
Simple logic mshindi apate 50% + 1 vote otherwise hakuna haja ya kuandika 50% +1% wangesema mshindi apate 51% (50%+1%)Hebu tuwekane sawa, mshindi anatakiwa awe na kura 50% plus 1 vote? Au 50% plus 1%?
Hebu tuelewane hapa kwanza, maana shule zetu za kata ni janga la Taifa mtu hadharani anacomment bila wasiwasi halafu Wakenya wanatucheka.
Yani Wenzetu pamoja na weledi wanaouonyesha kwenye kusimamia mambo yao lakini hili tatizo la ukabila na ukanda bado linawasumbua sana... ukiangalia ramani ile ya Kenya inayoonyesha kura zilivyopigwa utaona ruto katawala zaidi maeneo ya Rift Valley anapotokea na kati kati mwa kenya na odinga naye katawala zaidi maeneo ya magharibi na kusini magharibi japo yeye angalau kapata uungwaji mkono kiasi kikubwa maeneo ya mashariki, pwani na kaskazini mwa Kenya..Hii Ndio shida ya ukanda hata uwe mzuri namna gani kura zitagawanyika tu.