Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Comeback moto
478430763.jpg
 
Fujo zilizuka siku ya Jumatatu Agosti 8 katika ukumbi wa CDF,Eldas inayotumika na IEBC,kama kituo cha kuhesabia kura

Kazi itakuwa imeanza ya kubadili matokeo
Kulingana na chawa Kikwajuni One vurumai zimetokea kituo cha kuhesabia kura Jumatatu Agosti 8.

Kulingana na chawa Jasmoni Tegga kazi ya kubadili matokeo itakuwa imeanza siku hiyo.

Hivi Watanzania tuna tatizo gani? Kura zimepigwa Jumanne Agosti 9... Unahusisha vipi haya matukio mawili? Nadhani kuna nati zimelegea kichwani.
 
Mie nimesema kwamba kazi imeanza. Je, unajua hiyo kazi imeanza lini? Umeona popote nimeweka tarehe? Unajua kusoma hata? Chekechea inakuhusu mkuu.
 
Back
Top Bottom