YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Kwa kweli uwanja umependeza sana. CCM mbele kwa mbele.
Naona kama hapatoshi!
UKAWA wameahirisha kuanza kampeni ili pamoja na lile tatizo kubwa lakini wawalete watu toka Moshi na Arusha taratibu bila kushitukiwa. Kuanzia wiki hii Moshi na Arusha kutapungua idadi ya watu na hotel Dar zitajaa.
 
ccm kumejaa vilaza sana, ningekuwa na uwezo ningekamata mmoja mmoja nasaga kwenye mashine na kugeuza mbolea, nchi yetu ibaki na watu safi, nchi haiwezi endele na watu wajinga.

Ndiyo hauna uwezo sasa, hivyo kilichobaki kwako ni aidha kunywa sumu au kuhama nchi utuachie nchi yetu na Ujinga wetu!

Raisi wa V wa JMT Ni Dr.Pombe Magufuli!
 
mtaani kwangu zimekuja UDA mbili kuokoteza watu

Mtoto wangu anasema wamefuatwa chuoni wanaambiwa kuna wasanii wa bongo flava na wengine toka nje ya nchi twendeni mkawasikilize , Usafiri ni bure na hakuna kiingilio. Nikamwambia Sishangai kwani Magufuli ni msanii ndani ya wasanii wa CCM.
 
Nimefurahi nyimbo za wasanii.kila wakiimba makosa yanawarudi..mpaka wanazima vyombo
 
11873414_883930575031199_4945020638157531889_n.jpg
Ahahaaaa.Ngoja waje!!
 
Kuiangalia picha zinazorushwa na Azam Two. Kwenye back ground kuna watu wanaendelea na shughuli zao kana kwamba hakuna cha maana kinachoendelea hapo jangwani.
 
Naona kama hapatoshi!
UKAWA wameahirisha kuanza kampeni ili pamoja na lile tatizo kubwa lakini wawalete watu toka Moshi na Arusha taratibu bila kushitukiwa. Kuanzia wiki hii Moshi na Arusha kutapungua idadi ya watu na hotel Dar zitajaa.
Mnadhania Ni nyie mmewatoa Moro na Aboud bure??? Na wale wa hapa Dar wameletwa na malory na daladala na buku 5 ya maji?? Mtakaa Sana UKAWA hamuiwezi, jipeni moyo panya road nyie mijizi ya nchi hii
 
Back
Top Bottom