kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 8,378
- 10,020
twaweza waongo,nimefanya nao kazi sanaUtafiti wa TWAWEZA umewaambia siyo kila king'aacho ni dhahabu!
Siyo kila wanaohudhuria kwenye mikutano yenu watawapigia kura.
Mgombea mwenyewe anaongea dakika tatu. Unadhani watanzania wengi hawafahamu gharama ya muda wanaoupoteza kutaka kusikiliza Sera na Ilani kutoka kwa mgombea halafu badala ya kuwaeleza Sera na Ilani, anaishia kusema wampe kura.
Yaani yeye anataka wananchi wampe kura bila wao kuelewa atakachowafanyia. Kura ni mkataba.
Endeleeni kupiga kelele na kushangilia ''nyomi'' lakini pia jiandaeni kisaikologia kupata knockout ya kisiasa kutoka Magufuli.