Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

kwa wewe hautonielewa,, nachokwambia hakuna CCM wala upinzani hapo,, hao wote wanashirikiana kula kodi za wananchi,, bado sion anaezungumzia masuala mapana ya wananchi hapo,, *waliopo hatuwaamin wanaotaka tuwape ndo balaa*

nilijua tu toka mwanzo liccm utalijua tu kwa hoja dhaifu mara waliopo hatuwaamini wanaotaka ndo balaa hee kauli hizi zilitumiwa sana kipindi cha mrema sasa ni tofauti haya maccm yanayoiba kila siku ndiyo unishawishi niyachague labda niwe nguruwe kama wewe
 
kwa wewe hautonielewa,, nachokwambia hakuna CCM wala upinzani hapo,, hao wote wanashirikiana kula kodi za wananchi,, bado sion anaezungumzia masuala mapana ya wananchi hapo,, *waliopo hatuwaamin wanaotaka tuwape ndo balaa*

kwa akili za chipundu huko namanyere nivigumu kunielewa ndo maana ccm imetamalaki sana chipundu kisa wajinga wengi ukiwemo na wewe
 
tena walisema lowasa atakua,pia walisema watamtangaza mgombea wao wa urais yote hio kuvuta watu,cdm hawana lao mwanza.
 
Mbona huulizi shitambala na mwampamba na shoza walirudisha kazi Dodoma na kwann isiwe mbeya

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Nimeshangazwa na kitendo cha Ester na Lembeli kurudisha kadi za ccm mwanza badala ya kwenye majimbo yao, huku wakidai wataenda kugombea huko kwao, sasa kama wameshindwa kupokea kadi zenu za ccm hizo kura watawapaje? Au mumetumika kama ngongoti au chambo cha kukusanyia watu maana bila nyie mkutano ungedoda. Watu walitaka kusikia mkitapika madudu/sumu za ccm lakini hamna kitu mumekalia porojo.

Ester ungebaki ccm na kugombea Ilemela hakiyanani ungepeta, haya Mdee anakupeleka chaka subiri uone. Lembeli hukuwa na mpinzani kahama umelaghaiwa na sasa utaula wa chuya.
Wameonyesha dharau kubwa sana kwa wapiga kura wao.
 
Haya ndio yale mambo ya ukabila na udini tuliyakataa kwani mwanza wanaishi wanyama? Kumbuka binaadamu wote ni sawa na Afrika ni moja utabaki hivyo hivyo na ubaguzi wenu.
 
Nimeshangazwa na kitendo cha Ester na Lembeli kurudisha kadi za ccm mwanza badala ya kwenye majimbo yao, huku wakidai wataenda kugombea huko kwao, sasa kama wameshindwa kupokea kadi zenu za ccm hizo kura watawapaje? Au mumetumika kama ngongoti au chambo cha kukusanyia watu maana bila nyie mkutano ungedoda. Watu walitaka kusikia mkitapika madudu/sumu za ccm lakini hamna kitu mumekalia porojo.

Ester ungebaki ccm na kugombea Ilemela hakiyanani ungepeta, haya Mdee anakupeleka chaka subiri uone. Lembeli hukuwa na mpinzani kahama umelaghaiwa na sasa utaula wa chuya.

Kwani katiba ya ccm inasema watu warudishe kadi wapi?
 
Kwani Magufuli kwao wapi? Mbona alianza kujitambulisha Dar, Dodoma, Zanzibar na Mwanza?? Acheni maawali ya kitoto!! Ndio maana mnapigana na kugaqanyika kila dakika.
 
Ulitaka mkutano wa CCM taifa ufanyike Chato? Unamlinganisha Dr.Magufuli na Lembeli daa!!. Dr.Magufuli ndiyo rais utaki unaacha.
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php

Hii ni gharika Dr Slaa usirudi tena Mwanza kuleta Elninyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom