Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 16,944
- 13,035
Mafuriko yameanza tena?
kamguse uliwe utumbo!huyu babu anatutafuta nini watanzania? Kunasiku tutampopoa na mawe yeye asubiri tu.
pole yako, umeuza nyumba sasa ni mpangaji utatumikia wananchi kweli? Siasa ni biashara kama unavyotangaza hapa
ACHA ujinga we mwana c.c.m !CDM msitusumbue mmeshindwa kulinda kura zetu vijana tunasema hatupigi kura tenaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Uzi hauwezi kufika mbali watu wamesusa na jibu watalipata kwenye sanduku la kura Lema ajiandae kisaikolojia atafute kazi nyingine ya kufanya.
Dah,,,,hadi huruma hahahahahahaha,,,mleta mada duuu,,,
Lema hatakiwi Arusha hiyo ndio fact
Anza weekend vzr kama unataka kujiingiza huku karibu. Huyo alichonijibu ni kizuri?Wasukuma huwa hawatukani matusi mabaya kama haya
Safi sana .