K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,322 Reaction score 233 Jun 21, 2014 #1 Tukumbushane jamani watu walikuwa wengi balaa
BWANYEENYE Member Joined Jun 2, 2010 Posts 95 Reaction score 17 Jun 21, 2014 #2 duuuuhhh hatari hio Jamani......
E Executive Member Joined Apr 16, 2014 Posts 8 Reaction score 0 Jun 22, 2014 #4 Vilikua vichwa vya kutosha kama 450 au 500 hivi kwa hizo nafasi zao 4
MAUBIG JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,040 Reaction score 858 Jun 22, 2014 #5 Ndio maana sikutaka kupoteza muda na nauli
P Puree Member Joined Jun 21, 2014 Posts 30 Reaction score 9 Jun 22, 2014 #6 Itafika mahali watu wataanza kusimea ufundi ili wajiajiri..maana hali ishakuwa ngumu
E El chollo Member Joined May 17, 2014 Posts 75 Reaction score 7 Jun 22, 2014 #7 ajira tatizo tayali tanzania
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,214 Jun 22, 2014 #8 tatizo la ajira kwa vijana ni hatari zaidi ya dengue fever.