Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

Kushabikia watu wasio na upeo wala akili timamu inabidi uwe umejipanga kikamilifu kibadili gia angani..

Wenye akili tulishajua hakuna maandamano
Ni kweli mkuu,hili hata mtoto mdogo alijua hili
Na ndio maana hakuna hata mmoja alietarajia jipya kwenye mkutano huo.

Cha kushangaza naona hotuba yake imejaa kutaja viongozi wa dini tuuuuuuuuu,ina maana hata chama chake hakina wazee wa kuweza kumshauri.

Halafu anasema kwamba Viongozi wa dini wameomba UKUTA kwamba ili viongozi wa Dini wakutane na Magufuli,kwani si waliisha kutana.

Naona list kuuubwaaaaaa,kwani ndio mara ya mwanzo kuonana nao,na kwanini wasubirie kiki ya kubakia siku moja tu na wasiahirishe kipindi cha nyuma,utotooooo eeeeeeee,utotooooo,
Sasa UKUTA wamesukumia upande wa Viongozi wa dini,sasa kwa wenye akili tumeishajua kwamba hakuna jipya teeena.

Ningeshangaa hahaha!Yaani mtu unafanya usafi mwingine anatapita kuchafua!Sio kunyea ndoo tu,mngefanya usafi mara nne zaidi!

Ukweli mtupu.
Niliwaambia hakuna ukuta, watu eti ooh, chadema, ohh sijui serikali ooh sijui nn!

Siasa ni aina fulani ya ujanjaujanja wa kucheza na akili za watu,
Kama shida ya yule mchaga na grupu lake ilikuwa kufikisha ujumbe, akaandaa kombora "ukuta" ili jufikisha ujumbe, halafu walioundiwa ukuta wakaupokea, kuna haja gani ya kufanya maandamano?

Ukuta siyo maandamano

Ukuta ni
UMOJA WA KUPINGA UDIKTETA TANZANIA

Baada ya kuandaliwa ukuta, serikali imehaha!

Jeshi la polisi nchi nzima mazoezi,
Vyombo vyote vya habari matangazo ya ukuta
Raia wote hoja zao kila siku ukuta kwa muda wa mwezi mzima

Je ujumbe umefika au haujafika?
Ukuta ndio huoooo,
Maana ya ukuta siyo maandamano!

Nilikuwa natania tu,
Kama ule utani wa wasukuma kwa wazaramo!!

Ndugu yetu wewe sio Broiler?........

Kwa hiyo siyo kuandamana tena, ni fikra kujengwa kwa Watanzania?!

Wengi wenu hum ni wanafiki, mlitarajia aseme ukuta utakuwepo?, mngesikia wananchi wamekufa ingesaidia nini?,

Mkuu yani kwa huu utoto walioufanya hata ile imani yangu ndogo iliyobaki kwao imepotea kabisa.. Ni utoo zaidi ya utoto huu

Kama hujamwelewa ni wewe. Wengi tumemwelewa sana karne ya leo ukitaka kuiangusha hii MIDUBWASHA lazima utumie akili na si nguvu. Mosi JWTZ wametangaza operesheni ya usafi kuazimisha sijuwi nini huko yote hiyo ni kupinga UKUTA, pili Viongozi wakuu wote wamekamatwa na wana kesi tayari mahakamani katika hali kama hiyo huwezi kuitisha maandamano utaonekana Mwehu. Nimewakubali sana chadema mchezo wanaoucheza serikali inaweza kuja kushtuka 2020 bado wanakimbizana na chadema.

Hizo t-shirts ni biashara ya Mbowe! Hapo amepiga pesa anaenda kupunguza deni lake la billcanas

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…