Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

Kushabikia watu wasio na upeo wala akili timamu inabidi uwe umejipanga kikamilifu kibadili gia angani..

Wenye akili tulishajua hakuna maandamano
Ni kweli mkuu,hili hata mtoto mdogo alijua hili
Na ndio maana hakuna hata mmoja alietarajia jipya kwenye mkutano huo.

Cha kushangaza naona hotuba yake imejaa kutaja viongozi wa dini tuuuuuuuuu,ina maana hata chama chake hakina wazee wa kuweza kumshauri.

Halafu anasema kwamba Viongozi wa dini wameomba UKUTA kwamba ili viongozi wa Dini wakutane na Magufuli,kwani si waliisha kutana.

Naona list kuuubwaaaaaa,kwani ndio mara ya mwanzo kuonana nao,na kwanini wasubirie kiki ya kubakia siku moja tu na wasiahirishe kipindi cha nyuma,utotooooo eeeeeeee,utotooooo,
Sasa UKUTA wamesukumia upande wa Viongozi wa dini,sasa kwa wenye akili tumeishajua kwamba hakuna jipya teeena.

Ningeshangaa hahaha!Yaani mtu unafanya usafi mwingine anatapita kuchafua!Sio kunyea ndoo tu,mngefanya usafi mara nne zaidi!

14141607_166611047106054_6489248441577770725_n.jpg

Ukweli mtupu.
Niliwaambia hakuna ukuta, watu eti ooh, chadema, ohh sijui serikali ooh sijui nn!

Siasa ni aina fulani ya ujanjaujanja wa kucheza na akili za watu,
Kama shida ya yule mchaga na grupu lake ilikuwa kufikisha ujumbe, akaandaa kombora "ukuta" ili jufikisha ujumbe, halafu walioundiwa ukuta wakaupokea, kuna haja gani ya kufanya maandamano?

Ukuta siyo maandamano

Ukuta ni
UMOJA WA KUPINGA UDIKTETA TANZANIA

Baada ya kuandaliwa ukuta, serikali imehaha!

Jeshi la polisi nchi nzima mazoezi,
Vyombo vyote vya habari matangazo ya ukuta
Raia wote hoja zao kila siku ukuta kwa muda wa mwezi mzima

Je ujumbe umefika au haujafika?
Ukuta ndio huoooo,
Maana ya ukuta siyo maandamano!

Nilikuwa natania tu,
Kama ule utani wa wasukuma kwa wazaramo!!

Tatizo hapa watu wanashindwa Kuelewa.
sie ambao tumeishi mikoa yenye mfumo wa mazoezi ya kipolisi na kijeshi ni kwamba
Mazoezi ya Kijeshi huwa ni ya kawaida saana,na hufanyika mara kwa mara,na ndio maana hata huku Zanzibar hakuna anaelalamika,maana tumekuwa tukiyaona sana tu hasa Kambi ya Jesho ya Chukwani na Masingini hupita sana tu Alfajiri full mtete
Maeneo ya Nje ya mji kama kwenye viwanja vyao vya mazoezi njia ya kwenda Unguja ukuaa pale karibia ya kona huwa nawaona sana tu Vikosi vikiwa katika mazoezi.
Hata Kigoma wale wanaokaa karibia na Kambi ya Lugufu,huwa ni kawaida kuona,na miaka ya 1990s mwanza kulikuwa kuna rushwa ndege za kijeshi kwa mazoezi.
Sasa nyie mliokuwa mjini hasa Broilers ndio mnaona geni saana la mazoezi ya mitaani,walichofanya ni kwamba wamebadilisha tu mfumo kutoka viwanja vyao kuja mtaani muda wa mchana,so kusema kwamba Gharama ni issue sio tatizo.Maana sote tunalipa kodi
Ndugu yetu wewe sio Broiler?........

Haooooooo wamezodolewa .....ukuta ulishajengwa kwa takribani mwezi mzima ktk fikra za watz...kipi ambacho hakijasemwa kipindi hichi ambacho ulitaka kwenye mikutano kesho wakiseme.....nani ambaye haujui ukuta, udikteta na uchochezoi....fikra za ukuta zitadumu milele hata km physically usipojengwa.....ona sasa mlivyowatesa askari wa watu kutwa kwenye jua kali... chadema hapa wamecheza na akili za serikali...singeli imechezeka
Kwa hiyo siyo kuandamana tena, ni fikra kujengwa kwa Watanzania?!

Wengi wenu hum ni wanafiki, mlitarajia aseme ukuta utakuwepo?, mngesikia wananchi wamekufa ingesaidia nini?,

Ni kweli mkuu,hili hata mtoto mdogo alijua hili
Na ndio maana hakuna hata mmoja alietarajia jipya kwenye mkutano huo.

Cha kushangaza naona hotuba yake imejaa kutaja viongozi wa dini tuuuuuuuuu,ina maana hata chama chake hakina wazee wa kuweza kumshauri.

Halafu anasema kwamba Viongozi wa dini wameomba UKUTA kwamba ili viongozi wa Dini wakutane na Magufuli,kwani si waliisha kutana.

Naona list kuuubwaaaaaa,kwani ndio mara ya mwanzo kuonana nao,na kwanini wasubirie kiki ya kubakia siku moja tu na wasiahirishe kipindi cha nyuma,utotooooo eeeeeeee,utotooooo,
Sasa UKUTA wamesukumia upande wa Viongozi wa dini,sasa kwa wenye akili tumeishajua kwamba hakuna jipya teeena.
Mkuu yani kwa huu utoto walioufanya hata ile imani yangu ndogo iliyobaki kwao imepotea kabisa.. Ni utoo zaidi ya utoto huu

Tukubaliane Mbowe amezima ndoto za wengi, ameamua kuweka kwapani UKUTA mchana kweupe. hapa ameniaminisha kwamba hata ule WARAKA kwamba kaahirisha UKUTA uliovuja naamini ulikuwa KWELI. Huyu anacheza na minds zetu hana lolote mpuuzi tu.....
HIYO SEPTEMBA MOSI ATAANDAMANA NA MKEWE
Kama hujamwelewa ni wewe. Wengi tumemwelewa sana karne ya leo ukitaka kuiangusha hii MIDUBWASHA lazima utumie akili na si nguvu. Mosi JWTZ wametangaza operesheni ya usafi kuazimisha sijuwi nini huko yote hiyo ni kupinga UKUTA, pili Viongozi wakuu wote wamekamatwa na wana kesi tayari mahakamani katika hali kama hiyo huwezi kuitisha maandamano utaonekana Mwehu. Nimewakubali sana chadema mchezo wanaoucheza serikali inaweza kuja kushtuka 2020 bado wanakimbizana na chadema.

Watanzania wenyewe wakiona msafara wa polisi wanalalama wengine mnatutia pressure tunajiuliza nini tena ohoo jamani muwe mnatupa taarifa halafu ukaweke mbele ya polisi.

Ukuta ungedoda tu ata wasingefuta issue inabaki viongozi wamewapa misuko suko makada wao kadhaa na vijana waliokuwa wanauza TShirts zao halafu leo hakuna UKUTA how selfish is Mbowe, wengine mpaka sasa wapo rumande kisa UKUTA.
Hizo t-shirts ni biashara ya Mbowe! Hapo amepiga pesa anaenda kupunguza deni lake la billcanas

17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom