Yaliyojiri kesi ya ‘bomoa bomoa’ Kimara - Mbezi

MAGUFULI ALIKUWA ndio SHERIA akisema hakuna wa kubisha Jengo la Tanesco alilibomoa lakini hata barabara haikufika kule
 
Nchi maskini kama Tanzania sio sahihi kuvunjia raia nyumba. Sio suala la sheria.. ni suala la welfare ya wananchi.

Kwasababu mwisho wa siku sheria zimewekwa kuboresha maisha ya wanadamu na sio kukomoa.

Hicho nilichokisema hapo juu ndo kinamfanya Magufuli kuwa kiongozi mbovu tangu ardhi ya Tanzania ifikiriwe na Mungu..

Huwezi kuumiza raia kisa wewe ni rahisi eti unafuata sheria wakati welfare inapaswa kuwa juu kabisa...
 

Mangi Bana. Kwahiyo sheria ziwekwe kapuni? Mimi naijua hii ishu vizuri hapo Mahakamani JMT itashida na pale tulipigwa na waliowahi kulipwa fidia bahati nzuri yule jamaa alieniuzia alifariki 2005
 
Mkuu haya maswali nadhani yangeulizwa wakati wa Jiwe ingekua safi sana maana yeye ndo alitoa amri zivunjwe.

NB:JIWE ALIKUA YUPO JUU YA SHERIA MPAKA MAHAKAMA.
 
Kulingana na sheria zilizotungwa Uingereza, endapo mtu atajenga jengo na serikali itakuwa 'haijaliona' jengo hilo kwa muda wa kuanzia miaka minne na kuendelea, jengo hilo litakuwepo mahali hapo kihalali na kisheria.
Kwa hiyo, majengo yaliyokuwepo Kimara kwa zaidi ya miaka minne, yapo kihalali kulingana na sheria zilizotungwa Uingereza!
Hivyo serikali ya JMT inawajibika kulipa fidia ya
TSH 5m kwa jengo la chumba kimoja,
10m kwa chumba na sebule
15m kwa vyumba viwili na sebule
20m kwa vyumba vitatu na sebule
25m kwa vyumba zaidi ya vitatu na sebule
20m kwa ghorofa isiyozidi chumba kimoja na sebule
25m kwa ghorofa isiyo zidi vyumba viwili na sebule
50m kwa ghorofa isiyozidi vyumba vitatu na sebule na
100m kwa ghorofa inayozidi vyumba vitatu na sebule.
250m kwa nyumba ya ibada
500m kwa kituo cha mafuta

Hii ni haki ya wana Kimara wote walio vunjiwa nyumba zao kipindi cha bomoa bomoa na inapaswa 'walipwe fidia, mapema iwezekanavyo' hata kama serikali itakuwa imebakiwa na shilingi mia moja tu, kwenye mfuko mkuu.
 
Wewe ni mburura, unajua gharama ya kujenga nyumba? Acha kuandika vitu vya kipuuzi
 
Wewe ni mburura, unajua gharama ya kujenga nyumba? Acha kuandika vitu vya kipuuzi
Yeah. Thats the amount. Over n above mtu akadai haki yake popote.
Walipobomoa I assume waliondoka na mabati, matofali, milango na madirisha.
So far nyumba nyingi zilikuwa nzee na zilizojengwa na material hafifu.
Kwa hiyo, hiyo pesa inatosha kabisa.
 
Sheria ya sasa upana wa barabara ni mita 60 ...na eneo hilo ndilo limetumika kujenga barabara ya njia nane iliyopo sasa kwanini Tanroads imebomoa nyumba kwenye eneo ambalo halijatumika kabisa?Serikali imebomoa eneo la mita 240!!!Wastaafu wamefilisika wamekuwa ombaomba na wengine wamekufa wakati zoezi linaendeshwa.....
 
Mbona mnatapika humu,tunaojua wahusika walishalipwaga miaka mingi Ila wakawauzia madomo Kaya ndio yanayolalama
 
Yeah. Thats the amount. Over n above mtu akadai haki yake popote.
Walipobomoa I assume waliondoka na mabati, matofali, milango na madirisha.
So far nyumba nyingi zilikuwa nzee na zilizojengwa na material hafifu.
Kwa hiyo, hiyo pesa inatosha kabisa.
Haujawahi kujenga haujui dhamani ya kiwanja, vifaa vya ujenzi, mafundi na muda wa mjenzi. Hiyo tathmini yako ni ya kitoto. Ukikua utakuja kujua haujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…