Jamaa lilikua na roho mbaya sana lile.Ukitaka kuona nyeti za Kuku subiri upepo. Baada ya Muda mtajua hasara kubwa iliyosababishwa na utawala wa Kiimla.
Hakuna cha kusubiri hao kina Ndyamukama wadhibitiwe kabla hawajastaafu...walianza tangu kipindi cha JK kuchukua hayo maeneo kwa kuhongwa na matajiri waliokuwa wanataka kuiendesha hii barabara kwa mfumo wa PPP na yale maeneo yatumike kujenga malls na Investments nyingine.Sasa kesi ikoa mahakamani hapohapo unataka watu wachukuliwe hatua, kwanini usisubiri hatma ya kesi then hatua zichukuliwe?
Mungu fundi ,Jamaa lilikua na roho mbaya sana lile.
Chapa halisi ya Lucifer ndani ya umbo la mwanadamu! Lilikuwa jitu la ajabu sana.Jamaa lilikua na roho mbaya sana lile.
Subiri mahakama itakapoamua walipwe ndio utajua kama alikuwa anakurupuka au vipiMagufuli alikuwa hakurupuki
Alifanya kwa kumuogopa ibilisi badala ya kumuogopa Mungu. Kwakweli ibilisi alitesa watu wengi hasa waliokuwa hawajielewi maana kwenye utawala wake weledi haukuwa kitu isipokuwa yeye alichoamua.Mwambieni huyo Ndyamukama kwamba , mbele ya Mungu KILA UBAYA UTALIPWA , alichokifanya kwa wakazi wa kimara kitamrudia tu
Matokeo ya Ibilisi!Chapa halisi ya Lucifer ndani ya umbo la mwanadamu! Lilikuwa jitu la ajabu sana.
Ha ha ha! Ibilisi akimjaribu Bw. Yesu akamchukua hadi kinara cha Hekalu akamwonesha fahari na milki yake yote! Do you know the answer? Utu ni bora kuliko vitu.Matokeo ya Ibilisi!View attachment 2295667
Mtapita hiyo barabara mkiwa mmevuta midomo kenge nyinyiHa ha ha! Ibilisi akimjaribu Bw. Yesu akamchukua hadi kinara cha Hekalu akamwonesha fahari na milki yake yote! Do you know the answer? Utu ni bora kuliko vitu.
Awamu ya tozo wanaitumia kuendeleza legacy ya tozo.Matokeo ya Ibilisi!View attachment 2295667