Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Jana nimesoma bandiko la namba 5 akiwa na kada wa Chadema wakiteta jambo au majambo.

Leo nimesoma bandiko la namba akitamba kuwa kama Mungu akisema Yes yeye awe Rais hakuna wakusema No.

Kiukweli kwa muda mrefu namba 3 na 2 ambao ni akina mama sijawasoma kabisa zaidi ya kuwaona katika majukumu yao ya kiserikali.

Namba moja ofcourse namuona mara kwa mara akitimiza majukumu yake ya kikatiba akitumia falsafa yake ya Hapa Kazi Tu.

Ndiposa najiuliza hawa 4 na 5 kwanini wasitulie tu kama yule aliyekatwa wakisubiri kipyenga cha 2020?

Maendeleo hayana vyama!
 

We mbona hutulii.
 
Well noted
 
Brother! Shikamoo
 
Niliteseka sana kuandaa update ya hili andiko.
 
Asante kwa alie fufua hii thried.

Kusema Kikwete alikua na hitilafu na Magufuli sidhani maana alimpigania sana .

Hata wazee wa ccm walimpigania mno Magufuli.

Sio kwamba walikua hawampendi lowasa moja kwa moja hapana!
Mimi nadhani kuna nguvu iliyokua nje ya wote walio kua na uwezo wa kupitisha wagombea wale ilio waongoza mpaka wakafanikiwa kumpitisha Magufuli.

Magufuli alikua ni kiongozi aliehitajika sana wakati ule kuliko yoyote yule, ila kwa bahati mbaya sana yeye kama Magufuli kuna vitu vidogo sana alikosea kama binadamu wote tulivyo ambavyo vilimuondolea ule upekee aliokua nao.

Hata hivyo anabaki kua kiongozi wa kipekee kuwahi kutokea Tanzania sawa na mwalimu nyerere na atabaki kuwa marejeo kizazi na kizazi kwa mema ama mabaya.

Ajaliwe nuru ya milele.
 
Jamani Watanzania wenzangu. D.P.World alikosa tu lugha nzuri ya kuongea.
Lakini ndio kampuni pekee itakayo leta furaha.
Mimi ndio natoka Dubai mda huu kwa ghalama zangu.
Nitaongea Kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…