Miaka ya nyuma wakati wa utawala wa marais waliotangulia hatujawahi kusikia bomu limerushwa makanisani, lakini chini ya utawala huu uliofitinika tumeshuhudia bomu linarushwa kanisani, viongozi wa makanisa wameuawa kanisani. Watu wameuawa makanisani na kwenye mikutano ya kampeni serikali ipo kimya, watu wameuawa soweto, hakuna aliyetoa hata pole, Kamuhanda alitoa amri Daudi Mwangosi auawe halafu akapandishwa cheo, serikali ya aina gani ipo kimya tu.
Yule polisi aliyemwua Daudi Mwangosi alipelekwa mahakamani mara mbili sasahivi yupo Ukerewe anafanya kazi yake ya uaskari