Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Mkutano umeanza muda, ambapo kabla ya mkutano kuhusu OPD Tundu Lissu na Heche walizungumzia uchaguzi wa Sombetini.
Hivi Sasa anazungumza Lissu, anasema Madini ya Tanzanite yapo Arusha lakini siyo ya watanzania, bali ya wamarekani, Gesi ipo Tanzania lakini siyo ya watanzania, Tuna wanyama wengi vivutio lakini siyo mali ya watanzania, mitandao ya mawasiliano ipo Tanzania lakini siyo ya kwetu. Amesema nchi imeuzwa na ccm. Akauliza wananchi kama kila kitu wamepewa wageni tumebakiwa na nini? wananchi wakasema Virobaaaa!!!!
Anaendelea kuzungumza kuwa watanzania tujifunze kusoma alama za nyakati.