figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,068
- 64,230
Leo Bunge la bajeti ndio limeanza.
Hadi sasa Hoja za serikali zimeshawasilishwa Mezani. bunge linaoneshwa live TBC1.
Hatua ya kuapishwa wabunge wapya ya bunge la JMT.
Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza leo mei 6, 2014.
Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akila kiapo Bungeni mjini
Dodoma leo Mei 6, 2014.
Mbunge Mpya wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akila kiapo Bungeni
Mjini Dodoma,leo Mei 6, 2014.