Nawashukuru Watz wamegundua hila zenu.Kati ya leo na jana hali ni tofauti.Wengi wameanza kuhoji, huyu jamaa ana uchu wa madaraka na ni hatari kwa usalama wa nchı.Akiwa CCM aliungwa mkono na watu flani wengi wakitokea CDM kwa ajenda ambayo imegundulika ya ukanda.Magufuli chaguo sahihi la Watz.TULIKUPENDA CDM LAKINI HATUNA BUDI KUACHANA NAWE KWA SBBU HILA,UNAFIKI NA UBINAFSI VIMEKUTAWALA.