Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

-wapo waliokufa
-walioenda kuweka mbolea c unajua mcmu wa nn huu
-ila wengine walikuwapo vilabuni
-wana mama wengi waliogopa kwenda kupiga kula kutokana na hali halisi ya siasa za tz ya leo(wanaogopa vurugu)
 
kwa hyo pamoja na chopa..........................goodbye CDM see u in hell

MAJIBU SAHIHI
--------------------
Jibu ni kuboreshwa kwa Daftali la wapiga kura tuu.

Karenga ni mabibi ndio yamepiga kura kalenga sasa unafikili maCCM yangefeli kweli....

Makamanda piganieni maboresho ya daftali sasa chaguzi hizi, kwa mjini kama chalinze tutashinda tu ata kwa daftali hili.

Hongera chadema kwakushinda (ingawa hakutangazwa), kama TISS wote walikuwa pale, police nao, kauli ya mkuu wa kaaya lazima kushinda, vitisho vywa green guard na CCM mkoa, na nguvu kubwa ya kutisha vijana na watu makini kutopiga kura.... Nasema tena hongereni sanaa, SASA TUELEKE CHALINZE HAKUNA KUKATA TAMAAAAAAA...

Mungu bariki Tanzania
Mungu bariki Tendega for 2015
 
Chadema sio riziki inapaswa kuoverhaul uongozi wake na kubadili strategies ili iendelee kupata popularity, nje ya hapo tegemea timu ndogo zaidi bunge lijalo.
 
Naona unabadili nyekundu kuwa njano,,,,,,,,lazima mshindwe tuu japo unaona mmeshinda rekebisheni kasoro zenu kwenye chama ili watanzania warudishe IMANI NA NYIE.
majibu sahihi
--------------------
jibu ni kuboreshwa kwa daftali la wapiga kura tuu.

Karenga ni mabibi ndio yamepiga kura kalenga sasa unafikili maccm yangefeli kweli....

Makamanda piganieni maboresho ya daftali sasa chaguzi hizi, kwa mjini kama chalinze tutashinda tu ata kwa daftali hili.

Hongera chadema kwakushinda (ingawa hakutangazwa), kama tiss wote walikuwa pale, police nao, kauli ya mkuu wa kaaya lazima kushinda, vitisho vywa green guard na ccm mkoa, na nguvu kubwa ya kutisha vijana na watu makini kutopiga kura.... Nasema tena hongereni sanaa, sasa tueleke chalinze hakuna kukata tamaaaaaaa...

Mungu bariki tanzania
mungu bariki tendega for 2015
 
Acha uoga hiki chama sio cha mtu mmoja inapokuja pointi hata kama hawatakuelewa leo bc kesho watakuelewa sema sasa chadema wajijenge upya kabisa.
 
Naona unabadili nyekundu kuwa njano,,,,,,,,lazima mshindwe tuu japo unaona mmeshinda rekebisheni kasoro zenu kwenye chama ili watanzania warudishe IMANI NA NYIE.

Tatizo liko hapo uongozi wa juu ila sasa cdm hairuhu kiongozi ajiuzulu.. Mpaka atimuliwe au muda wake uishe..
 
Nimefuatilia mazungumzo ya hili jamvi toka matokeo yatoke nimeona inazungumziwa CDM tu. Nilidhani ni wakati mzuri kwa CCM kushangilia ushindi, na kuona namna gani Mgimwa jr ataendeleza gurudumu aliloachiwa na Mgimwa sr.
Changamoto ni nyingi jimboni, msaidieni dogo kupambana nazo. Otherwise ni kweli CDM (na CHAUSTA) wameshindwa, lakini wametimiza wajibu wao kama vyama vya siasa. Kuanza kuwasakama kwa nini walishiriki, kwa nini waliahidi ushindi na mambo mengine, ni kujifanya hamjui kuwa hizo ni mbinu za ushindani.
Mwisho niwapongeze CDM na CHAUSTA kwa kushiriki uchaguzi, otherwise CCM ingedhani bado nchi iko ya chama kimoja.
Nendeni sasa Chalinze mkaifanye kazi ya Siasa (sina haja ya kuwakumbusha kuwa hiyo ndiyo kazi yenu). Kama hamna hela, fanyeni harambee kama mlizowahi kufanya. Ninyi ni chama PEKEE TZ ambacho kinaweza kuchangiwa na makabwela. GO CHADEMA GO. Tunawangojea kwa hamu Chalinge kwa mwana wa mfalme.
 
Nani awachangie hela wakati wanachi wanajua ruzuku zinatafunwa? Mengine uliyoyaandika naungana na wewe lakini hilo la harambee mhhhh!!!!! Acha nisizizungumzie wasije wakanizito mie.
nimefuatilia mazungumzo ya hili jamvi toka matokeo yatoke nimeona inazungumziwa cdm tu. Nilidhani ni wakati mzuri kwa ccm kushangilia ushindi, na kuona namna gani mgimwa jr ataendeleza gurudumu aliloachiwa na mgimwa sr.
Changamoto ni nyingi jimboni, msaidieni dogo kupambana nazo. Otherwise ni kweli cdm (na chausta) wameshindwa, lakini wametimiza wajibu wao kama vyama vya siasa. Kuanza kuwasakama kwa nini walishiriki, kwa nini waliahidi ushindi na mambo mengine, ni kujifanya hamjui kuwa hizo ni mbinu za ushindani.
Mwisho niwapongeze cdm na chausta kwa kushiriki uchaguzi, otherwise ccm ingedhani bado nchi iko ya chama kimoja.
Nendeni sasa chalinze mkaifanye kazi ya siasa (sina haja ya kuwakumbusha kuwa hiyo ndiyo kazi yenu). Kama hamna hela, fanyeni harambee kama mlizowahi kufanya. Ninyi ni chama pekee tz ambacho kinaweza kuchangiwa na makabwela. Go chadema go. Tunawangojea kwa hamu chalinge kwa mwana wa mfalme.
 
MAJIBU SAHIHI
--------------------
Jibu ni kuboreshwa kwa Daftali la wapiga kura tuu.

Karenga ni mabibi ndio yamepiga kura kalenga sasa unafikili maCCM yangefeli kweli....

Makamanda piganieni maboresho ya daftali sasa chaguzi hizi, kwa mjini kama chalinze tutashinda tu ata kwa daftali hili.

Hongera chadema kwakushinda (ingawa hakutangazwa), kama TISS wote walikuwa pale, police nao, kauli ya mkuu wa kaaya lazima kushinda, vitisho vywa green guard na CCM mkoa, na nguvu kubwa ya kutisha vijana na watu makini kutopiga kura.... Nasema tena hongereni sanaa, SASA TUELEKE CHALINZE HAKUNA KUKATA TAMAAAAAAA...

Mungu bariki Tanzania
Mungu bariki Tendega for 2015
KALENGA
PhotoCandidatePartySexValid Votes%
View PhotoSTEPHEN JONES GALINOMACCMM32,73468.4
No PhotoTENDEGA SUBWA GRACEJahazi AsiliaF13,49228.2
No PhotoSYLVESTER ATILIO MWITALACHADEMAM9121.9
No PhotoKHALID SALUM MFALINGUNDICUFM4120.9
No PhotoWILLIAM NGATA MICHAELTLPM2720.6
Valid Votes 47,822
Spoilt Votes 2,569
Registered Voters 64,557
 
hahahaha makanda poleni sana.
Mli wadharau wana kalenga mka wapa mtu asiye chaguo na mkaweka chaguo la Lema,mbowe na Slaa.

Mliwadharau wana kalenga mkawaleta machalii kutoka Arusha ndio wali de kura utafikiri wana kalenga ni vipofu.

Mliwadharau wana kalenga mkawapa Godbless J Lema awe campaign manager wakati mnajua jamii ina muona ni mtu asiye ma heshima wala busara ni nora Crashwise kidogo.

Kwakweli chama kinacho jitamba kuchukua nchi kinapata kura 5OOO ni aibu.

Pole sana makanda chama kimekufa na kitazikwa chalinze na Dr.W.Slaa.
Niliwa shauri mjitoe kwenye hizi chaguzi lakini hakumsikia.

Muwe na Asubuhi njema,

cc Mungi, Rose Mayemba.

Nilikuwa natafakari sasa nimerudi pipi mkubwa wewe babaja tukusikie, maana tangu jana umeshanitaja zaidi ya mara nne unatafuta bwana? sioi mabwabwa....!?
 
Mkuu, jibu swali. Je aliwaleta waingerezq kuja kumpigia kura?
Angewaleta waingereza kuja kumpigia kura nisingeshangaa, mshangao wangu ni kupigiwa kura na walewale aliowaona hawafai, akawakimbia na kuwaachia matatizo yao, akaenda kishi uingereza!!
 
wapiga kura wengi ni wanawake na kwakuwa wanawake hawapendani wenyewe kwa wenyewe ni vigumu kushinda uchaguzi kwa kupigiwa kura na wanawake wenzako. Hivi wana Kalenga hawaheshimu ma chifu wao? maana walimpigia debe sana bi Grace Tendega lakini wananchi hawakuwaelewa. Suala lingine nilimsikia mama mmoja akihojiwa na kusema hatutaki CHADEMA chama cha fujo!!! hii ni propoganda mbaya inayotumiwa na CCM inabidi CHADEMA wajitazame upya
kwenye negatives inakuja issue ya Gender, Jamani jimbo hilo akina Mgimwa ni wengi, mlidhani watamchagua mwingine, na marehemu walimkubali wenyewe? Sasa mwanamke ampigie kura mtu asiyemtaka kisa ni mwanamke?
 
Wakati kijana huyo akiwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA mwaka 2010 CHADEMA kilipata kura 3,000.Yeye Mwenyewe aliponea chupuchupu jimboni kwake.

Leo unadhani kijana huyo ana uwezo wa kupunguza madhara ya kutorekebisha daftari la kudumu la wapiga kura?Unapimaje kuwa kijana huyo ana madhara wakati vijana wanaoamini kijana huyo hafai hawajaruhusiwa kujiandikisha?

Hii habari ya daftari hii! Anyway, inatusaidia kujitetea.
 
we ni kiazi wenzenu wanarisishana madaraka wewe unarisishwa laptop kwa ajili ya kupinga ukweli ambao utakusaidia hata wewe mwenyewe na familia yako mbwa wewe
msumari wangu umekuingilia wapi mkuu?kwenye jinsia au shogani?
 
Wewe unadhani yanani?

Unauthibisho gani kwamba huo sio ujuha wa ccm kubambikia madhambi wanadamu wengine?

Je ni kupitia mahakama ipi hakimu amethibitisha mtuhumiwa kafanya hilo kosa? nakapewa adhabugani?

Acha ushamba kushabikia ujinga ukijifanya wewe ndiye hakimu na chumba choko ndiyo mahakama laptop yako ndiyo

mawakili.......jifunze kutumia neno mtuhumiwa madhali mahakama haijathibitisha hivyo.
kawaeleze upuuz wanzako wa maeneo ya shogani
 
Back
Top Bottom