Yaliyojiri jijini Arusha katika kuaga Miili ya Wanafunzi wa Lucky Vincent waliopata ajali ya gari

Hivi watazikwa pamoja kama wale wa MV BUKOBA?
Hapana haitakuwa hivyo..mwisho wa ibada yalikuja magari maalumu yaliyotolewa na serikali na taasisi nyingine ambayo yalisafirisha miili ya marehemu kwenda sehemu husika kwa ajili ya maazishi kama vile Tanga,Iringa,Kagera, Mbeya, Moshi na maeneo ya Karibu Arusha mjini.
 
Back
Top Bottom