Yaliyojiri jana Valentines day!

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
2,711
Reaction score
1,018
Habari wana MMU.

Jana ilikuwa siku ya wapendanao kama wengi wanavyoiita,maalufu kama Valentines day.Binafsi siku hii huwa sina muda nayo kwani sioni la maana katika maadhimisho yake.

Nina rafiki yangu ana msichana/mpenzi wake.Tangu juzi binti alimuaga jamaa kuwa anaenda kijijini kumsalimia bibi yake anaumwa.Jana usiku jamaa anakatiza mitaa akamuona "my love" wake yupo na njemba.

Wanakula ujana,mshikaji amechanganyikiwa kwani alikuwa na future plans na yule dada. Ameshamnunulia kiwanja, alikuwa ameshaanza kumuinulia,sasa ni mshike mshike.


Kupenda si kazi kazi nikumpata anayekupenda.
 
Kosa moja moja haliachi mke/mpenzi,ampe fursa nyengine na yeye pia apunguze kula chips kuku awajibike kiume,nini kiwanja hata angempa nyumba na service inachangia.
 
Kosa moja haliachi mke,ampe fursa nyengine na yeye pia apunguze kula chips kuku awajibike kiume,nini kiwanja hata angempa nyumba na service inachangia.

Binti huyu kiukweli ni kama hajatulia maana ashawahi kukutwa na text za mapenzi kwenye simu, jamaa akapotezea.
 
Basi cha kufanya jamaa atulize akil na achane kbx na uyo mwanamke
 
Binti huyu kiukweli ni kama hajatulia maana ashawahi kukutwa na text za mapenzi kwenye simu, jamaa akapotezea.

Sasa sikia, mwambia rafiki yako kama anampenda sana na yuko tayari kumsamehe wewe ukonae pamoja,la ameamua kumuwacha na kusonga mbele pia ukonae pampoja.

Wacha aamue mwenyewe usim push kumwambia amuwache sababu hujui anapewa nini wala anampenda kiasi gani huyo binti,labda huo ukicheche wake ndio raha kwake.
 
Kubwaga haisaidii, hata ajakaempata atakuwa na uhusiano pembeni, huyo dada si Kwamba hampendi Ila ni tamaa tu, Amsamehe.
 
Ampe fursa nyengine!! Daaa hayo ni majanga! Atakujamuumiza zaidi ya hapo bora upotezee 2
 
Binti huyu kiukweli ni kama hajatulia maana ashawahi kukutwa na text za mapenzi kwenye simu, jamaa akapotezea!

Apotezee na hilo, mtoto umleavyo... anategemea avue kambale baharini!!!!
 
Kubwaga Haisaidii, Hata Ajakaempata Atakuwa Na Uhusiano Pemben, Huyo Dada C Kwamb Hampend Ila N Tamaa Tu, Amsamehe

ina maana kwenye dunia ya sasa hakuna waaminifu.....? asifanye ujinga kulea maradhi.....akidhani kuwa kila mwanamke yupo hvyohvyo so afe tu na tai shingani.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…