kaka yako bado sana kujitambua mpaka atakapoweza kutofautisha vitu ndio atakua mwana sasa mana saivi hafai mana hawezi kutofautisha vitu so anaweza siku akajifanya kasahau na kwenda kwingine kisa hawezi kutofautisha ....aggggggggr!sasa hii ni kali CUTE yaani umeona utuonyeshe mambo haya bhana
hahahhaha Mr Rocky umesahau moja ya kuchungulia hiyo mpaka kaka kiiza anaijuaDah ladyfurahia duh balaa. Unamtetea mtu kama Erickb52 ambaye anajulikana chitchat nzima kwa kutembea na wake za watu.
Tena amevunja ndoa nyingi sana za watu humu
Duh Erickb52 mi sina matatizo na wewe kutetewa na wadada ndo zako bana nakujua ni mdhaifu sana kwa wadada
CUTE sijaisahau naanza kumwambia moja baada ya jingine huyo mtetezi wake ladyfurahia
Ambaye hamjui kaka yake vyema wala hajui tabia zake
Hajui Erickb52 ana watoto watatu kawatelekeza huko meatu wala hawakumbuki
Hajui Erickb52 ni mteja wa kudumu pale baa ya mrina nyuma ya golden rose
Dah
Heheheeeee natamani Amyner aje anisaidie na majungu yenukaka yako bado sana kujitambua mpaka atakapoweza kutofautisha vitu ndio atakua mwana sasa mana saivi hafai mana hawezi kutofautisha vitu so anaweza siku akajifanya kasahau na kwenda kwingine kisa hawezi kutofautisha ....aggggggggr!
hapana chezeya Erickb52 yy haoni tofauti yoyote kila kitu kiko sawa tuuuuuuuuuuuuu
View attachment 74017
kaka yako bado sana kujitambua mpaka atakapoweza kutofautisha vitu ndio atakua mwana sasa mana saivi hafai mana hawezi kutofautisha vitu so anaweza siku akajifanya kasahau na kwenda kwingine kisa hawezi kutofautisha ....aggggggggr!
hapana chezeya Erickb52 yy haoni tofauti yoyote kila kitu kiko sawa tuuuuuuuuuuuuu
View attachment 74017
Hahahahaaa Asprin sikuondoka na mtu coz wale walikuwa balaa
Wametokelezea kinegative halafu wanagonga toti mbili kavu siuwataiua aisee
Ushaamka mkuu? Vipi hengova? Piga glass ya mtindi.
Btw kale kachangu Nicas Mtei ananiambia uliondoka nako,ulikumbuka kutumia zana au ulipuyanga?
karibu DSM kuna kamsemo ka zamani kanasema "kuku mgeni hakosi kamba mguuni" naona kaka umevamia jijiKweli club kuna maajabu sana na vituko vingi!
Jana nilikuwa zangu counter na DJ alikuwa vizuri sana yan bandika bandua bila kuchange beat wala kuharibu step za wateja wake! Nilistaajabu mdada mmoja alipokuja counter na mkaka kuchukua kinywaji,kope zake zilikuwa ndefu kama nusu nchi hivi nkamwangalia kwa makini nikaona zimeongezewa urefu yan zimemfanya amekuwa katuni hasaaa ila yeye alijiona katokelezea mbaya na mashauzi kibaoooo!
Then kuna binti mmoja aliletwa kupata toti mbili za godons alipokosa glass akazitwanga kavukavu hapohapo counter....nilifeel maumivu yake kooni lol wadada mko juu siku hizi.
Baadae kidogo nilimuona mkaka kajibebea juice kubwa ya Azam kwapani na mkononi kabeba Castle Lager na yuko anazunguka kila kona na anazinywa zote...sikujua flavor alokuwa anapata.
Baadae wakaingia Mmama na kasharobaro kamoja wakiwa wanaonyeshana mahaba kweli kweli lol Walikuwa wakibusiana na kukumbatiana mara kwa mara bila aibu na kuvuta hisia za watu!Kwa umri walipishana zaidi ya miaka 20 (Watu noma)
Wanaume nao hawakuwa mbali kuleta raha ya macho lol kuna mkaka alikuwa anacheza kwa style ya binua kiuno kama mdada yan alikuwa anajiachia utadhani sio ridhiki ila nilihisi ni pombe zilimkolea tu(Pombe zisizidi jamani)
Kimavazi kuna waliokuja wamevaa magauni marefu(Hawa nilihisi walokole wanaouacha ulokole taratibu au mahausigel) na wapo walokuwa wamepiga vimin haswaa na kifua nje lol mitego tupu wengine kawaida!
Kuna wanaocheza kwa step hadi raha lol huchoki kuwaangalia hata kidogo!
Kilichokuja kuniudhi nikaondoka ni mdada alipokuja na kuanza kujisogeza sogeza nilipokaa na kunigusagusa nikimuangalia anasema samahani kaka mh kila mara lol nikaona hapa hapafai tena nikaamua kuepusha msongamano nikaenda zangu kulala!
Je ni haya ndio yanayotokeaga club ?? Mbona yanastaajabisha?
Anyway mi sio mzee Mtambuzi mzee wa story
I remain
Erickb52