Lambardi JF-Expert Member Feb 7, 2008 16,513 17,384 Nov 10, 2010 #1 Wana JF tunaomba update yanayojiri kutoka kwenye kikao cha CC ya CCM Dodoma....tujue kama mkulu(Malaika) ataweza kmvalisha paka kengele kama alivyofanya mazee Mwinyi kwa Malecela....kumtosa live....Chenge Vijisendi??Nawakilisha
Wana JF tunaomba update yanayojiri kutoka kwenye kikao cha CC ya CCM Dodoma....tujue kama mkulu(Malaika) ataweza kmvalisha paka kengele kama alivyofanya mazee Mwinyi kwa Malecela....kumtosa live....Chenge Vijisendi??Nawakilisha
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Nov 10, 2010 #3 Hata mimi nasubiri kwa hamu ingawa najua Chenge atapitishwa tu kwani mtandao wa mafisadi ni mkubwa sana.
Hata mimi nasubiri kwa hamu ingawa najua Chenge atapitishwa tu kwani mtandao wa mafisadi ni mkubwa sana.