Yaliyojiri cc dodoma leo

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
16,497
17,372
Wana JF tunaomba update yanayojiri kutoka kwenye kikao cha CC ya CCM Dodoma....tujue kama mkulu(Malaika) ataweza kmvalisha paka kengele kama alivyofanya mazee Mwinyi kwa Malecela....kumtosa live....Chenge Vijisendi??Nawakilisha
 
Hata mimi nasubiri kwa hamu ingawa najua Chenge atapitishwa tu kwani mtandao wa mafisadi ni mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom