Yaliyojiri Bungeni: Mkutano wa 9, Kikao cha 1 (Miswada 4 kujadiliwa)

Bunge siku hizi inafanya vikao kimya kimya hata watu hawajui kama kuna mambo yanaendelea
 
hasira za nini? tunatoa hoja tu kwamba kama Mbunge alimiminiwa risasi mchana kweupe tena kwenye nyumba za maofisa wa juu wa Serikali - hao watu hata tetesi tu ni kina nani na walitaka nini hatujaambiwa na vyombo vya dola; leo hii utasemaje kwamba Dodoma ni salama? hebu tusaidie hapa!
Anayejua issue hiyo vizuri kabisa ni Dereva aliyemwambia TL tunakaribia kufika pale njoo kwenye Siti yangu halafu mimi nitatoka Nje kwenda kujificha kwenye gari nyingine....
By the way huyo Dereva bado anatibiwa saikolojia huko Kenya... Siku akirudi basi jibu/majibu ya maswali yako yote Haya yataisha
Au Unaweza kusaidia kuongea na Mbowe na TL ili waruhusu Dereva aje aeleze hilo na Utata utakwisha

Hakuna Polisi aliyekuwa ana monitor gari hiyo ndo Maana hawajui.. Wa kusaidia ni Dereva aliyepanga mipango yote namna ya kutoka Nje ya gari huku Risasi zikipigwa

Utasema mbona matukio YAO Polisi Hukamata watu mapema ??????? Jibu ni kwamba ushirikiano hutokea kuanzia victim wa Tukio na wananchi..lkn katika Hili Victims bado wanatibiwa siku akiona umuhimu wa kutoa ushirikiano basi hatua nzuri zitakuwepo tu...

Mashahid wengine tayari walishahojiwa wakiwepo walinzi wa geti n. k
CCTV ilichukuliwa na hadi sasa imetunza rekodi zoooote...siyo MUHIM KUTOA hapa JF wala kusema Mashahid wengine walisema Nini.. Maana huko ni ku expose ushahid

NOTE:-CHUNGA SANA KURUKA DARAJA KABLA HUJALIFIKIA HASARA ITAKUWA JUU YAKO
 
porojo.....
 
Wewe ambaye Hata asubuhi hii hujajuwa baba yako ameamkaje unataka Tabia hiyo ienee kwa watu wengine
Kumbuka NCHI Hii ina chain ya kujua hali ya NCHI TOfauti na unavyofikiri wewe usiyejua tofaut ya mkono wako wa kushoto na kulia
Kwa hayo usemayo ni kuwa ya Lisu yalijulikana?
Kama yalijulikana iweje Leo tupo hatujui hata PA kuanzia?
 
Dodoma si salama na Bunge pia si salama!!!! Ipo siku watalimana risasi viwanja vya Bunge.....naomba msalimie Halima Mdee na John..Mnyika.......wa Kibamba!! Wamekuwa kimya sanaa!!!
halima mdee si Juliana shonza alipendekeza kuwa apigwe ban yeye na bulaya mpaka bunge la mwakani la budget, hukumbuki,
 
Kwa hayo usemayo ni kuwa ya Lisu yalijulikana?
Kama yalijulikana iweje Leo tupo hatujui hata PA kuanzia?
Yes yalijulikana... na mtu wa Kwanza aliyekuwa anafaham ni dereva ndo Maana alikuwa Anatoa maelekezo kwa TL jinsi ya kuhamia kwenye siti yake wakifika karibu na eneo la tukio

Mtu mmoja kasema eti ni Porojo.....
Hebu jiulize
UJASIRI WA KUSEMA SERIKALI NDIYO INAHUSIKA NA TUKIO HILO HUWA MNAUTOA WAPI ????? HUWA NI POROJO ?????
ILIKUWAJE ASIMALIZIWE WAKATI ANATIBIWA DODOMA HOSPITAL ?????
KAMA MNAJUA SERIKALI NDIYO INAHUSIKA NA TUKIO HILO KWA NINI MNAUMIA MWIGULU NCHEMBA KUTOKWENDA KUMSALIMIA HUKO HOSPITAL KENYA ?????? HATAKWENDA KUMALIZIA MPANGO WA SERIKALI KUMUUA ????

yote Hii ni baada ya ninyi kukosea katika vinywa vyenu na kwa sasa mnashindwa kumeza matapishi yenu

Mkitaka mfanikiwe katika mipango yenu.. Muonekane hamna ndimi mbili... Retreat THEN start afresh mtaaminika
 
Bila tundu lissu bunge ni miyeyusho sana siku hizi!
Toka tundu lissu apigwe risasi, sina hamu nalo, najua ni porojo tu za upande mmoja i mean makinika!
 
Yes yalijulikana... na mtu wa Kwanza aliyekuwa anafaham ni dereva ndo Maana alikuwa Anatoa maelekezo kwa TL jinsi ya kuhamia kwenye siti yake wakifika karibu na eneo la tukio

Mtu mmoja kasema eti ni Porojo.....
Hebu jiulize
UJASIRI WA KUSEMA SERIKALI NDIYO INAHUSIKA NA TUKIO HILO HUWA MNAUTOA WAPI ????? HUWA NI POROJO ?????
ILIKUWAJE ASIMALIZIWE WAKATI ANATIBIWA DODOMA HOSPITAL ?????
KAMA MNAJUA SERIKALI NDIYO INAHUSIKA NA TUKIO HILO KWA NINI MNAUMIA MWIGULU NCHEMBA KUTOKWENDA KUMSALIMIA HUKO HOSPITAL KENYA ?????? HATAKWENDA KUMALIZIA MPANGO WA SERIKALI KUMUUA ????

yote Hii ni baada ya ninyi kukosea katika vinywa vyenu na kwa sasa mnashindwa kumeza matapishi yenu

Mkitaka mfanikiwe katika mipango yenu.. Muonekane hamna ndimi mbili... Retreat THEN start afresh mtaaminika
Uko vizuri.
Uko vizuri katika kutengeneza vipimo
 
Back
Top Bottom