Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

Ha ha ha ha hakuna jinsi maana wabunge wa CCM wengi Ni staili ya Hawa ghasia na Kibajaji unategemea wataongea nini kwenye Ishu za kitaalamu kama hizo.
 
Mkuu kumbe wewe ni mmoja wa wale wakimbizi wa nchi jirani mliopewa uraia mwaka ulee na yule waziri wa sharia aliyepigwa chini. Ndiyo maana uzalendo huna wala uchungu na nchii hii sababu wewe ni mamluki.

We ni mtu mjinga. Nina uzalendo na nchi hii ndio maana sipendi mnapotaka kupotosha ukweli.
 
Ww ni kibajaji au ndugu yake kibajaji? Pale Bungeni ni Majembe ya Ukawa na Wapinzani pekee ndo wanamsaidia bi kiroboto ....

Mumeo Lema ameshindwa hata kuongea kwenye mjadala kama huu. Sijui atatuambia nini sisi wana Arusha. Mjinga sana huyu.
 
Najitambua sana mie siyo kama wewe punguani, ndio sababu michango yangu siku zote ni kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania. Wewe mpumbavu Buku 7 na tonge mbili za ubwabwa zinakutoa akili na kuamua kuisaliti nchi yako na Watanzania wenzio 45 millioni. Pumbaf mkubwa wee, Mxciuuuuuu.
Achana nae huyo mkuu, tuliowengi tunatambua mchango wako kuhusu hili swala mpaka linafika tamati leo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom