Magazetini
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 593
- 1,713
Habari wakuu,
Leo bunge linaendelea na vipindi vyake vya kawaida na limeshaanza likiongozwa na spika wa bunge, mama Anne Makinda. Kilichokuwepo kwa sasa ni kipindi cha maswali na majibu na yanaelekezwa wizara ya mambo ya ndani ya nchi. Tuwe sote kujuzana mambo muhimu yatakayojiri bungeni leo.