Dah wamerudisha umeme saa hizi, nilikuwa nna hamu nimuone ashk majnoon anavyoongea!
Kumbuka ndani ya ccm kuba wabunge wa aina tatu,
* wabunge wa viti maalum walioingia kwa mbeleko anuai
* wabunge walioingia kwa kura za wananchi,
*wabunge,walioingia bungeni kwa kutumwa na wezi wa cc ya ccm,
Huyo mwalimu,anajiandaa kugombea ubunge jimbo jipya tarajiwa huku Da
r,anachofanya ni kujipendekeza,maana nae ni fisadi mkubwa,
Aulizwe kwa mshahara wa mwi alipataje uwezo wa kujenga sheri ya mafuta?
Hao ndio walimu ambao kupata nafasi hizo
walienda
Unatukana kwa sababu ndivyo ulivyolelewa! Huwezi kukulia uswahilini halafu ukose matusi. Matusi ndiyo chai na chakula cha mchana kwenu ila jitahidi kurekebika
Halafu anapigiwa makofi....watanzania wapo ktk wakati mgumu yeye anamuattack mtu.
Kwa report hii ni wazi CCM wanajiandaa kufanya maovu ktk Uchaguzi ujao ,na wanasilence uhasilia wa vitu ili kulinyamazisha kanisa.Kwanini hawakuahinisha alichopokea kilaini,kuhusika kwa kanisa, na mkombozi iliingiaje zaidi ya transactions na Je account za Ruge nyingine hazikufanya kazi.Siamini kuwamba Ruge ana account pekee ktk MKOMBOZI wakati IPTL ilikuwepo kabla ya MKOMBOZI.Siamini kwamba wadau wasio MKombozi hawakupata mgao.KWWANINI ZITTO NA WENGINE HAWAKUJA NA HIZO DATA,AU KWANINI WALIPIGA KIMYA?AU NDIO ILE NIA YA KUCHUKULIA ADVANTAGE KWA CCM KM WAFANYAVYO KTK MISAADA YA WAFADHILI(UFADHILI WATU WA....US,JAPAN) NA KUISHIA SEMA KUWA NI SERIKALI YA CCM NA JK.AU NI KM WAJIFICHAO KTK UKASKAZINI,UKRISTU ILI KUWAPINGA CHADEMA NA BAADAE UKASKAZINI UKISHAKOMAA KICHWANI WAMTOE NAO LOWASA?SI MMOJA AKATE UKIMWA ASEME MKOMBOZI IFUNGWE NA BOT?IN FACT PIA UJE UPEMBUZI KWAMBA HIZO MIL ZA KILAINI KWA AJILI YA MAENDELEO YA BUKOBA NI ZAIDI YA HELA ALIYOSTAHILI RUGE KTK HELA YAKE HALALI.
Pesa za escrow siyo malipo ya umeme? ile mitambo ya Wartsila pale Tegeta inafanya nini? RITA ndio walikuwa wanazikusanya hizo fedha miaka yote na kuziwasilisha escrow, zilikuwa za uzazi na vofo zile?
Hebu wacha kuwa finyu. Mlitaka umeme wa bure?
Jaman uku umm umekatika nawezaje kuangalia online ...msaada wadau
Prezidah....huna link ambayo naeza kupata videolive
Kuna mzungu mmoja lecture wangu aliwai kuniambia kuwa... Alikuwa anashangaa afrika kwa nini aina maendeleo.. akaniambia katika study zake amegundua waafrika Uwa awasikilizani...
Nilipata kujiuliza kwa nini alisema vile ila hapa ndo umenifanya nilireflect back na kujua... Inawezekana kiswaili ndio sijui lakini kujua au kutojua kiswaili aimanishi ndio ufinyu wa akili.... Amna perfect wa lugha ndo maana kuna mgawanyiko wa kazi we ukijua ili mi najua iki.. tukichanganya tunapata kitu kizima..
Ahaaa inafuraisha sana nnchi yangu Tanzania na watu wangu... Mtu na akili yake timamu anaposimama katika jambo muimu kuomba muongozo kisha anasema ohoo katika dini ya kiislamu mtoto nnje ya ndo haramu.... Je ndo Ivi tunavyojifunza katika mambo muimu kuomba muongozo kwa ajiri ya upuuzi...
Ila asante kwa kunielekeza itabidi nijifunze kiswaili kisinitoke kama ndo ivyo
Arafu we k***m** mbona unazingua?