madia madia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 717
- 703
Mimi bado..[emoji85]Humu karibia kila kidume kinatakwa kimapenzi na kina mama wenye pesa zao.

Hujataja jina unafikiri akisoma thread yako hawezi kutambua kwamba ni true? Ulimaliza mchezo ile sikuSidhan Kama Kuna Ubaya....!!!!
Ubaya Unakuja Kama Nimeweka Wazi Kabisa Majina Yake
Na Kumbuka Huo Ni Ukweri Kuwa Mim Ni Mume Wa Mtu Na Yeye anafaham Hilo So Sidhan kama Nimefanya Makosa Kuleta Humu Uzur Hakuna Sehem Niliyo Taja Jina Lolote La Mhusika
Acha uongo na wewe kah! Yaani uingie hotelini mko wawili na mwanamke tena uliyesema ni rangi ya dhahabu mwanaume uliyekamilika umuache? Pili umesema yuko humu na ulimkatalia kisa unamheshimu unageweza kuandika haya na yeye yuko humu humu? Uongo sio mzuri mwisho wa mwaka huuHabar Za Mida Washika Dau
Siku Mbili Tatu Zilizopita Niliyumba Kiuchumi Kabisa Yan Hari Ilikuwa Mbaya Mbaya Kabisa Kiuchum
Nikiwa Maeneo Fran Iv Katikati Ya Jiji Wife Alinipigia Na Kuniambia Nikirud Nijitahid Nirud Na Mahitaj Muhim Ya Nyumban
Kichwa Kiliniuma Sana Wadau Kwan Nilikuwa Sina Kitu Nipo Empty Mbaya Zaid Kuna Mambo Fran Iv Ya Kifamily Yalitokea Upande Wa Wife Ivyo Kukawa na Mchango Hapa Wife Alikuwa Akinitegemea Mim
Baada Ya Kuumiza Kichwa Kwa Sana Ilinibid Nianze Kutafuta Ndugu Na Jamaa Na Marafiki Nilio Nao Karibu Kuwaomba Msaada Kwa Bahati Mbaya Zaid Kira Niliye Kuwa Namgusa Kumwambia Hili Swala Wengi Walianiambia Hawapo Vzr Kwa Muda Huo Kiuchum Ivyo Niwe Na Subra May B January Mwanzon Wengine Wa walikuwa Katika Mazingira Ambayo Sio Rafiki
Kutokana Na Mim Kuwa Na Uhitaji Mkubwa Ndipo Nilipo Kumbuka Kuwa Kuna Mama Fran Iv Nilikutana Nae Humu Humu Jf Tumekuwa Marafik Wa Muda Tuu Tunachat Tuna Piga Soga Pamoja Ila Kira Mmoja Yupo Na Family Yake Na Tunajuana Kuwa Kira Mtu Ana Family
Ilinibid Nifikie Hatua Ya Kumwambia Uyu Mama Hili Tatizo Ambalo lilikuwa Likinikabili
Kikubwa Kilicho Kuwa Kikinisumbua Ni Uhitaji Wa Chakula Nyumban Mambo Mengine Sikuyapa Kipaumbele
Baada Ya Kumwambia Uyu Mama Akasema Nashida Na Sh Ngap Na Nipo Wap?? Nikamuelekeza Sehem Nilipo Na Kuja Kwa Haraka Baada Ya Hapo Tulipata Wasaa Wa Kukaa Katika Restaurant Fran Iv Maeneo Ya Mjin Na Kuanza Kupiga Soga Mbili Tatu Baada Ya Hapo Uyu Bibie Alinipa Kias Fran Iv Ambacho Siku Nakiwaza Kama Kweri Atanisaidia Nilimshukuru Sana Uyu Bibie
Ila Baada Ya Hapo Akaniambia Jion Naomba Tuonane Nikamuuliza Wap??
Akaniambia Atanijukisha Nikaitikia Tuu Sawa
Wadau Jion Ilifika Mim Nikiwa Nasaidiana Na Wife Kupanga Baadhi Ya Vyakula Ndan Na Kumwambia Wife Kuwa Kwa Sasa Pesa Sina Ivyo Pesa Nitakayo Kuwa Namuachia Aitumie Kwa Uangalifu Mkubwa Vitu Visivyo Na Maana Tuviache Wife Tulielewana Nae Vzr Tuu
Jion Yule Mama Akaanza Kunipigia Na Kuanza Kuniambia Nipo Wap Nikamjib Nipo Home Akanielekeza Katika Moja Ya Hotel Kubwa Tuu Hapa Nchin Nikamwambia Kwema Lakin Huko kwann Tunatiana Hotelin Kwann Tusikae Katika restaurant Yeyote Ile Akaniambia Kwan Pesa Anae Gharamia Ni Nan Mbona Unaionea Ubahili Pesa Ambayo huitolei Jasho Wee Njoo Ujue Nakuitia Nin..??
Nikapiga Moyo Konde Nikaenda Nilipo Fika Reception Nikauliza Wakaniekeza Kwa Bahat Nzur Aliacha magizo Pale Reception Ivyo sikuangaika Sana
Kimbembe Ndan Baada Ya Kuingia Nikamkuta Yule Mama Kavaa Taulo Nyeupe Zile Za Hotel Na Ile Rangi Yake Ya Fedha Walai Nakwambien Nilihisi Mwil Umepigwa Na Ganzi
Akaniambia Wew Mtu Mzima Ninacho Stuka Nin Nitulie Nikawa Nimetulia Tuu Kwenye Kochi Nikimsikilizia Ataniambia Nin
Baada Ya Hapo Akaanza Kunionyesha Dalili Zote Kuwa ananitaka Kimapenz Kiukweri Nirijaribu Kumwambia Kuwa Namuheshim Ivyo Tusivunje Heshima Tuliyo Peana Tangu Awali
Nikiri Uyu Mama Anapesa Nyingi Tuu....!!!
Mama Alikuwa akilia sana mule Room Akidai Kuwa Ni Lin Ataoana Furaha Ya Mapenz Mbona Ananyanyasikia Kias Ichi Mi Nikamwambia Kuwa siwez Tembea Na Mke Wa Mtu Istoshe Mim Na Yeye Tunaeshimiana Sana
Wakuu Ngoja Nifupishe Hii Story Uyu Mama Mume Wake Alikuwa Ni Mkurugenzi Katika Ofisi Fran Iv Baada Ya Mume Wake Kupata Visanga Vya Uncle Magu Mume Amekuwa Kama aki Perform Chin Ya Kiwango Kutokana Na Stress Za cheo Kushuka
Maza Ananibembeleza Sana Kuwa Niwe Nae
Binafsi Mim Nina Hofu Na Mke Wa Mtu Wadau..!!
Kingine kinacho Nishangaza Leo Jion Alinitumia Kias Fran Iv Cha pesa Katika Account Yangu Na Kuniambia Kuwa Nitumie Tuu Iyo pesa
Wadau Kweri Itakuwa Sahihi Mim Kutembea Na uyu Mama Jaman...!!!!
We za kwako zile ndo za ukweli?Chai
Au ninii kuwa ni mm huyo mmama naanzaje mie kutembea na ben10Shunie vipi au ni...... Nini?
Poa shemShem mambo...!!! mbona waguna
Hahahah haya bana ngoja nikusalimu kikubwa habari za jion shem[emoji56]Poa shem
Nimeguna tu sababu ya hizo mambo naona utoto tu sasa ndio ninii kuleta hapa
Point....Mkuu kutokana na maelezo yako huyu mama yupo humu, atajisikiaje baada ya wewe kuja kumuanika humu?
Nadhani ilikua busara kukaa kimya kama ni kumkataa au kumkubali ungeamua kimya kimya.
Upande mwingine nahisi hii story yako ni chai sijui kwanini.
Salama shem za weweHahahah haya bana ngoja nikusalimu kikubwa habari za jion shem[emoji56]
Hapo sawa na mgunoPoa shem
Nimeguna tu sababu ya hizo mambo naona utoto tu sasa ndio ninii kuleta hapa
Fresh tu vp za furahi day...!!Salama shem za wewe
Kama ni mwanifu. Usimsaliti mkeo sababu ya hiyo pesa. Huyo mama ni pepo kabisa atakuletea matatizo kwenye ndoa yako,kama ni hiyo pesa jitahidi umrudishie mapema coz ndio kakufunga nayo. Kuwa makini kijanaHabar Za Mida Washika Dau
Siku Mbili Tatu Zilizopita Niliyumba Kiuchumi Kabisa Yan Hari Ilikuwa Mbaya Mbaya Kabisa Kiuchum
Nikiwa Maeneo Fran Iv Katikati Ya Jiji Wife Alinipigia Na Kuniambia Nikirud Nijitahid Nirud Na Mahitaj Muhim Ya Nyumban
Kichwa Kiliniuma Sana Wadau Kwan Nilikuwa Sina Kitu Nipo Empty Mbaya Zaid Kuna Mambo Fran Iv Ya Kifamily Yalitokea Upande Wa Wife Ivyo Kukawa na Mchango Hapa Wife Alikuwa Akinitegemea Mim
Baada Ya Kuumiza Kichwa Kwa Sana Ilinibid Nianze Kutafuta Ndugu Na Jamaa Na Marafiki Nilio Nao Karibu Kuwaomba Msaada Kwa Bahati Mbaya Zaid Kira Niliye Kuwa Namgusa Kumwambia Hili Swala Wengi Walianiambia Hawapo Vzr Kwa Muda Huo Kiuchum Ivyo Niwe Na Subra May B January Mwanzon Wengine Wa walikuwa Katika Mazingira Ambayo Sio Rafiki
Kutokana Na Mim Kuwa Na Uhitaji Mkubwa Ndipo Nilipo Kumbuka Kuwa Kuna Mama Fran Iv Nilikutana Nae Humu Humu Jf Tumekuwa Marafik Wa Muda Tuu Tunachat Tuna Piga Soga Pamoja Ila Kira Mmoja Yupo Na Family Yake Na Tunajuana Kuwa Kira Mtu Ana Family
Ilinibid Nifikie Hatua Ya Kumwambia Uyu Mama Hili Tatizo Ambalo lilikuwa Likinikabili
Kikubwa Kilicho Kuwa Kikinisumbua Ni Uhitaji Wa Chakula Nyumban Mambo Mengine Sikuyapa Kipaumbele
Baada Ya Kumwambia Uyu Mama Akasema Nashida Na Sh Ngap Na Nipo Wap?? Nikamuelekeza Sehem Nilipo Na Kuja Kwa Haraka Baada Ya Hapo Tulipata Wasaa Wa Kukaa Katika Restaurant Fran Iv Maeneo Ya Mjin Na Kuanza Kupiga Soga Mbili Tatu Baada Ya Hapo Uyu Bibie Alinipa Kias Fran Iv Ambacho Siku Nakiwaza Kama Kweri Atanisaidia Nilimshukuru Sana Uyu Bibie
Ila Baada Ya Hapo Akaniambia Jion Naomba Tuonane Nikamuuliza Wap??
Akaniambia Atanijukisha Nikaitikia Tuu Sawa
Wadau Jion Ilifika Mim Nikiwa Nasaidiana Na Wife Kupanga Baadhi Ya Vyakula Ndan Na Kumwambia Wife Kuwa Kwa Sasa Pesa Sina Ivyo Pesa Nitakayo Kuwa Namuachia Aitumie Kwa Uangalifu Mkubwa Vitu Visivyo Na Maana Tuviache Wife Tulielewana Nae Vzr Tuu
Jion Yule Mama Akaanza Kunipigia Na Kuanza Kuniambia Nipo Wap Nikamjib Nipo Home Akanielekeza Katika Moja Ya Hotel Kubwa Tuu Hapa Nchin Nikamwambia Kwema Lakin Huko kwann Tunatiana Hotelin Kwann Tusikae Katika restaurant Yeyote Ile Akaniambia Kwan Pesa Anae Gharamia Ni Nan Mbona Unaionea Ubahili Pesa Ambayo huitolei Jasho Wee Njoo Ujue Nakuitia Nin..??
Nikapiga Moyo Konde Nikaenda Nilipo Fika Reception Nikauliza Wakaniekeza Kwa Bahat Nzur Aliacha magizo Pale Reception Ivyo sikuangaika Sana
Kimbembe Ndan Baada Ya Kuingia Nikamkuta Yule Mama Kavaa Taulo Nyeupe Zile Za Hotel Na Ile Rangi Yake Ya Fedha Walai Nakwambien Nilihisi Mwil Umepigwa Na Ganzi
Akaniambia Wew Mtu Mzima Ninacho Stuka Nin Nitulie Nikawa Nimetulia Tuu Kwenye Kochi Nikimsikilizia Ataniambia Nin
Baada Ya Hapo Akaanza Kunionyesha Dalili Zote Kuwa ananitaka Kimapenz Kiukweri Nirijaribu Kumwambia Kuwa Namuheshim Ivyo Tusivunje Heshima Tuliyo Peana Tangu Awali
Nikiri Uyu Mama Anapesa Nyingi Tuu....!!!
Mama Alikuwa akilia sana mule Room Akidai Kuwa Ni Lin Ataoana Furaha Ya Mapenz Mbona Ananyanyasikia Kias Ichi Mi Nikamwambia Kuwa siwez Tembea Na Mke Wa Mtu Istoshe Mim Na Yeye Tunaeshimiana Sana
Wakuu Ngoja Nifupishe Hii Story Uyu Mama Mume Wake Alikuwa Ni Mkurugenzi Katika Ofisi Fran Iv Baada Ya Mume Wake Kupata Visanga Vya Uncle Magu Mume Amekuwa Kama aki Perform Chin Ya Kiwango Kutokana Na Stress Za cheo Kushuka
Maza Ananibembeleza Sana Kuwa Niwe Nae
Binafsi Mim Nina Hofu Na Mke Wa Mtu Wadau..!!
Kingine kinacho Nishangaza Leo Jion Alinitumia Kias Fran Iv Cha pesa Katika Account Yangu Na Kuniambia Kuwa Nitumie Tuu Iyo pesa
Wadau Kweri Itakuwa Sahihi Mim Kutembea Na uyu Mama Jaman...!!!!
Ben10Au ninii kuwa ni mm huyo mmama naanzaje mie kutembea na ben10