Yaliyo moyoni mwa Kikwete kuhusu Muhongo

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,200
Reaction score
162,758
Unajua kuna jambo ambalo watu wengi hawajaligundua na pengine ndio kitu kinachomtesa JK katika kufanya maamuzi.

Kama tujuavyo,mh.Mhungo awali hakuwa mwanasiasa bali ni JK mwenyewe alimuitaji kisha akampa ubunge na baadae uwaziri.

Kwa sababu hiyo,kama Muhongo kuacha kazi yake ya awali,basi JK ndio sababu au kwa lugha nyingine,Kikwete ndio kamponza kwa kumuingiza katika siasa na leo hii akisema anamfukuza,basi lazima ahakikishe ana pa kumpeleka na si kumtupa tu.

Ugumu zaidi ni endapo Ikulu ilihusika katika sakata hili kama inavyotuhumiwa, kwani kama ni kumponza, basi hapo atakuwa kamponza mara mbili.Yaani mtu umemfanya ache kazi yake ya awali kwa kumpa kazi nyingine alafu kupitia kazi hiyo unamuingiza katika matatizo na kisha unatakiwa kumfukuza.

Hili jambo kibinadamu ni gumu sana,unless JK si sehemu ya uchafu huu na Muhongo alitumia ofisi vibaya kwa tamaa zake mwenyewe basi hapo Kikwete hatakuwa na lawama na itakuwa raisi hata kumwajibisha ila tofauti na hapo,Kikwete ana kibarua kigumu sana.

Unajua hata kama umelamba mabilioni,ila kuachishwa kazi kwa tuhuma za wizi kwa mtu kama Muhongo,ni pigo na aibu kubwa.Hawa watu hata wakiachwa kazi teyari wana mahela mengi ila hapa wanachopigania ni kujisafisha tu mbele ya jamii ingawa sidhani kama wanasafishika.

Hiki ndio kiini cha "kigugumizi" cha JK na huenda akampa cheo kingine hata kwa kutumikia nafasi hiyo mpya atakayompa nje ya nchi.

Najua ubunge wake bado upo utakuwa pale pale lakini kwa jinsi alivyokuwa na kazi nzuri na pengine ndio maana alikuwa na dharau,huo ubunge tu bado haumtoshi na hakuteuliwa ili awe mbunge tu.
 
Umejitahidi kwakweli.

Hapa shida nikwamba,MUHONGO kama MUHONGO hakuwa na tatizo kimsingi ktk issue ya ESCROW zaid ya hiana za mahasimu wake binafsi kina MENGI ,MBOWE e.t.c.

Pia,jamaa alikuwa na shavh lake kubwa tu huko UNESCO . Sasa J.K akipima upepo huo,lazima amiksiwe kwakweli. hata ungekuwa wewe.
 
Hapo ndio mwisho wa uwezo wako wakufikiri eeeh?
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1418054664.727053.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1418054664.727053.jpg
    34.3 KB · Views: 2,598
Umejitahidi kwakweli.

Hapa shida nikwamba,MUHONGO kama MUHONGO hakuwa na tatizo kimsingi ktk issue ya ESCROW zaid ya hiana za mahasimu wake binafsi kina MENGI ,MBOWE e.t.c.

Pia,jamaa alikuwa na shavh lake kubwa tu huko UNESCO . Sasa J.K akipima upepo huo,lazima amiksiwe kwakweli. hata ungekuwa wewe.

Mkuu KBOSCO, kwa hiyo Mengi na Mbowe ndio waliomwambia aibe? au walimlazimisha aruhusu fedha za Escrow zitoke?
 
Hapo wametumia principal estimations tu kama walivokuwa wameziremba kwa WAZIRI MKUU.

Kimsingi,walioshiriki zaid ni watendaji. sio kina Muhongo/Pinda.

Watendaji ndio walohusika. Si muhongo.
 
hivi kurugenzi ya mawasiliano ikulu sasa ina msemaji mpya aitwaye salary slip??? maana hapo umeilisha ikulu maneno kana kwamba wewe ni mama Salma kiasi kwamba unayajua yaliyo moyoni kwa mheshimiwa Rais... Acha upuuzi karibu tusherehekee miaka 53 ya uhuru na ukumbuke kuipigia kura ya ndiyo katiba yetu mpya
Akili ndogo tabu kweli!
 
Uko kwenye watu 12 waliopewa laptop na 3 million kumsafisha huyo mwizi wa pesa za watanzania masikini walipa kodi na mashule hakuna madawati hospital wakina mama wanakufa kila baada ya sekunde kwa ukosefu wa madawa.

swissme:
 
Read between lines,i can't sympathise with such kind of people.
 
Jambo kubwa ambalo mimi najivunia ni kwamba Rais ni mtu mwenye akili sana kila anachofanya lazima kiwe na uhakika sana akiweka maslahi ya taifa mbele.
 
Hizo zote ni mbwembwe tu. Haijalishi kama aliombwa. La msingi kakiuka masharti ya kazi yake. Si alikula kiapo? Kiapo ndio kitanzi chake.
 
Umejitahidi kwakweli.

Hapa shida nikwamba,MUHONGO kama MUHONGO hakuwa na tatizo kimsingi ktk issue ya ESCROW zaid ya hiana za mahasimu wake binafsi kina MENGI ,MBOWE e.t.c.

Pia,jamaa alikuwa na shavh lake kubwa tu huko UNESCO . Sasa J.K akipima upepo huo,lazima amiksiwe kwakweli. hata ungekuwa wewe.

Mkuu, mbona kwa Tido Mhando na Omar Nundu aliwatosa inakuwaje ashindwe kwa Muhungo?
 
Jambo kubwa ambalo mimi najivunia ni kwamba Rais ni mtu mwenye akili sana kila anachofanya lazima kiwe na uhakika sana akiweka maslahi ya taifa mbele.
Iiiiiihaaaahaaaahaaaa nhi nhi nhi haaa haaaa.. Prof wa kichina
 
Unajua kuna jambo ambalo watu wengi hawajaligundua na pengine ndio kitu kinachomtesa JK katika kufanya maamuzi.

Kama tujuavyo,mh.Mhungo awali hakuwa mwanasiasa bali ni JK mwenyewe alimuitaji kisha akampa ubunge na baadae uwaziri.

Kwa sababu hiyo,kama Muhongo kuacha kazi yake ya awali,basi JK ndio sababu au kwa lugha nyingine,Kikwete ndio kamponza kwa kumuingiza katika siasa na leo hii akisema anamfukuza,basi lazima ahakikishe ana pa kumpeleka na si kumtupa tu.

Ugumu zaidi ni endapo Ikulu ilihusika katika sakata hili kama inavyotuhumiwa, kwani kama ni kumponza, basi hapo atakuwa kamponza mara mbili.Yaani mtu umemfanya ache kazi yake ya awali kwa kumpa kazi nyingine alafu kupitia kazi hiyo unamuingiza katika matatizo na kisha unatakiwa kumfukuza.

Hili jambo kibinadamu ni gumu sana,unless JK si sehemu ya uchafu huu na Muhongo alitumia ofisi vibaya kwa tamaa zake mwenyewe basi hapo Kikwete hatakuwa na lawama na itakuwa raisi hata kumwajibisha ila tofauti na hapo,Kikwete ana kibarua kigumu sana.

Unajua hata kama umelamba mabilioni,ila kuachishwa kazi kwa tuhuma za wizi kwa mtu kama Muhongo,ni pigo na aibu kubwa.Hawa watu hata wakiachwa kazi teyari wana mahela mengi ila hapa wanachopigania ni kujisafisha tu mbele ya jamii ingawa sidhani kama wanasafishika.

Hiki ndio kiini cha "kigugumizi" cha JK na huenda akampa cheo kingine hata kwa kutumikia nafasi hiyo mpya atakayompa nje ya nchi.

Najua ubunge wake bado upo utakuwa pale pale lakini kwa jinsi alivyokuwa na kazi nzuri na pengine ndio maana alikuwa na dharau,huo ubunge tu bado haumtoshi na hakuteuliwa ili awe mbunge tu.

Kiukweli Prof Muongo amefika mwisho, hataaminika tena. Hakuna chuo kikuu kitakachompokea wala mashirika ya kimataifa kwa vile amenyea kazi ya uwaziri. CV ya Muhongo kwishney. Salama yake ni ndani ya sisiem masilahi tu. Usishangae hata ubalozi asipokelewe na nchi atakayopelekwa, labda Somalia na vijiinchi vyenye sifa kama hizo
 
Great thinker.
 
Hapo wametumia principal estimations tu kama walivokuwa wameziremba kwa WAZIRI MKUU.

Kimsingi,walioshiriki zaid ni watendaji. sio kina Muhongo/Pinda.

Watendaji ndio walohusika. Si muhongo.

Okey! Kumbe unakiri wizi ulikuwepo na walioshiriki ni watendaji! Sasa ina maana Muhongo hana uwezo wa kuzuia wizi katika wizara yake? Na mbona kuna ushahidi wa barua zake mwenyewe akiruhusu mzigo utoke? Vipi kuhusu kupungua kwa mgao wa umeme, mbona hapa tunaambiwa ni yeye kaupunguza na wala watendaji wake hawatajwi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom