Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,559
- 12,324
1. mbunge wa Mwibara CCM kwa staili ya pekee akiomba kura za ujumne utumishi bungeni
2. Tena mbunge wa Mwibara akivaa kininja asiwaonee haya wahusika wa IPTL...... Huyu mbuge sijui kama amerudi tena lol
3. Mbunge wa mbeya mjini abebwa juu juu baada ya kugoma kutoka
sijui Bunge hili linaloanza wiki hii litakuaje maana ni bunge movie