Yaliishia wapi mapambano dhidi ya mashoga?

Kiahjr

Member
Jul 27, 2013
75
85
Habari waungwana,

Nauliza tu yale mapambano ya Makonda kukomesha mashoga mjini Dar es Salaam yaliishia wapi kwani huku mtaani kwetu ni kero. Kila kukicha wanaongezeka tena bila uoga wowote.

Hali hii inatishia usalama wa watoto wadogo ambao wanawaangalia kama mfano. Nawaza sijui tuchukue sheria mkononi tu ata tuwachome.

Maana imefkia hatua wanashikana hadharani na marafiki zao wakubwa ni wamama wanawasapoti sana.Wamejipa na majina kabisa.

NINI KIFANYIKE KUKOMESHA HILI BALAA

shogamtam-1487738133516.jpg
 
???

Ulitaka kuweka Rangi kwenye Heading? hilo haliwezekani mkuu.

But haya mambo nilishayapuuza kuendelea kushughulika nayo (kwa kuwafungulia threads) ni kuwafanya wajione tunashughulika zaidi na uwepo wao.

Dawa ni kuwapuuuza tu.
 
Mkuu kiukwel sijui watoto wetu wataish vp maana wametuzunguka kama kisiwa asee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom